NEMC haina pesa ya kufanya EIA kila kiwanda cha Tanzania. Badala ya kulaumu NEMC ilaumu Wizara ya Mazingira ambayo ndo inaomba pesa Serikalini. Kwanza hata hiyo sheria ya Mazingira ilikuwa haijapitishwa na Bunge enzi hizo za Mpendazoe. Ungejua 90% ya Viwanda Tz vyote ni vya wahindi na vyote ni vichafuzi wa Mazingira usingesema!!!! hawa watu ni wabaya hawaruhusu mtu kuingia kufanya ukaguzi wowote ndani hata Afisa Afya wa jiji achana na NEMC.
Ok Phill....pengine una mengi zaidi ya kueleza kuhus Mpendazoe na udhaifu wake kiutendaji....any specifics?
Huyu Mpendazoe ni Mbunge wa Jimbo la Kishapu, Shinyanga na mgodi wa Almasi wa Williamson Diamonds Ltd upo katika jimbo hilo. Mgodi huo uliokuwa ukimilikiwa na De Beers SA uliuzwa kwa $10M kwa kampuni ya Petra UK bila ya TZ Govt, ambaye ni 25% shareholder, kushirikishwa na Mpendazoe akiwa Mbunge wa eneo hilo hajawahi kulizungumza hili hata siku moja. Leo anazungumzia viwanda vingine wakati kilichopo infront of his nose kanyamaza, na hatma ya employees mgodini haijulikani hadi leo. Huu kama siyo unafiki nin nini?
Korokocho

korokocho said:Mgodi huo uliokuwa ukimilikiwa na De Beers SA uliuzwa kwa $10M kwa kampuni ya Petra UK bila ya TZ Govt, ambaye ni 25% shareholder, kushirikishwa
mzee umefulia! Kwani mpendazoe kakukosea nini mzee? Mengi kakukosea nini mtu wangu,naamini mafisadi wako nyuma yako.we unauchungu kweli na nchi hii au umetumwa na mafisadi? Usihangaishe kutafuta chain kujua mpendazoe alitamka hivi au vile alitetea hiki au kile tunachotaka sasa ni je kinachosemwa kina ukweli gani? Hatutaki upotoshaji siku hizi.mbunge wako tangu aingie bungeni hajawahi kuchangia hata maada yoyote.
kumbe kamgusa shemeji yake phillemon mikael jitu kubwa yaani mstaafu,kwani hamjui mikael akiguswa jitu kubwa basi direct anaguswa dada yao ambaye tunaweza kumuita zoa zoa.
ok nakubaliana na wewe kwamba mpendazoe ni mchafu, sasa unashauri asionge ubaya wa Mkapa au uchafu wowote?..inshaaalah!!!.... amina!!
lakini mjuwe huyu jamaa anao upupu mwingi tu aliacha pale nemc...alipojeuza nemc [akiwa mkurugenzi]...na mwenzake akiwa ..mwenyekiti wa bodi kuwa chombo cha kuwapiga fimbo adui za mwenyekiti na kusahau kuwa tanzania ni kubwa ..na kipindi hicho migodi inaaaza ..alitakiwa ajibu hawakufanya environmental imopact assessment na leo hii watu wanakufa huko.......kama ni wrong doing za nyuma na pia si hizo ni zake???...
siku hizi kila anayepiga vita ufisadi hataki kuambiwa makosa yake ??..huwezi kuwa malaika ghafla kwa kupiga vita ufisadi......au huwezi kupiga vita ufisadi kwa kuchagua wa kumpinga na wengine ...kuwaacha ..thats a dare mistake inafanywa sasa ....kuna mafisadi wanaanikwa na wengine ..wanaachwa...nadhani inapasa wote ikwemo hawa ...waliokuwa wakila pesa za watu ili wafunge viwanda vywa wenzao!
Rwabugiri,
Haya ni mawazo ya Zitto kwa msukumo wa Rostam. Hivi ubaya wa Mpendazoe ni kumgusa Mkapa