Utendaji uliotukuka wa Rais Magufuli; Wanafunzi 400 UDSM wajiunga na CCM

Imani yangu ni kwamba hata kama bungeni au kwenye halmashauri kutakuwa hakuna hata mbunge au diwani wa upinzani bado upinzani utakuwepo tu ndani ya fikra na mioyo ya watu. Hata wakati wa Nyerere upinzani ulikuwepo, yeye ni nani hata aukatae upinzani?
 
Wadau,

Wanafunzi zaidi ya 400 kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameamua kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa Rais Magufuli. Wanafunzi hao walifanya maamuzi hayo katika mkutano wa ndani uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Kibangu Ubungo.

Wamesema pia kuwa wapo wanafunzi wengi wanaotarajia kujiunga na CCM kwani wanaamini kuwa ndiyo chama pekee chenye kupigania na kutetea maslahi ya wanyonge nchini.
Silly season continues
 
Muulize huyo wifi yako mkuu. Maana amening'ang'ania kuanzia jana. Nimejitahidi kumueleza maana ya hilo neno Swine (Unpleasant person) yeye ameshikilia kwamba nimemuita poki na kunipa vitisho.
Nilikuwa kikaoni twaweza kuonana ghorifa ya nne vhumba namba 106 tufahamiane maana naona nidhamu yako ipo juu sana hadi kuwaita baba zako mawifi! Nina dk 20 tu usikawie tuonane tafadhali ili ujue kama natishia au la
 
NITAKUTAFUTA. Wewe huwezi kuwa baba yangu swine (unpleasant person) wewe. Wewe una adabu kwa kunitukania wazazi wangu!? Tutafahamiana hapo tutakapoonana. Hii ni JF....nilikuita wifi kwa gubu ulilokuwa nalo. Kwa sababu mwanaume hawezi kuwa na tabia uliyo nayo. Tutafahamiana hapo hapo sehemu yako ya kazi. Halafu uone kama utaweza kufanya lolote unayotamba hapa. Eti chumba namba 106! Pathetic.
 
Wadau,

Wanafunzi zaidi ya 400 kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameamua kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa Rais Magufuli. Wanafunzi hao walifanya maamuzi hayo katika mkutano wa ndani uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Kibangu Ubungo.

Wamesema pia kuwa wapo wanafunzi wengi wanaotarajia kujiunga na CCM kwani wanaamini kuwa ndiyo chama pekee chenye kupigania na kutetea maslahi ya wanyonge nchini.
Wangejiunga vyama vingine wangewekwa ndani kwanza na kisha kufukuzwa chuoni
 
Wadau,

Wanafunzi zaidi ya 400 kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameamua kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa Rais Magufuli. Wanafunzi hao walifanya maamuzi hayo katika mkutano wa ndani uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Kibangu Ubungo.

Wamesema pia kuwa wapo wanafunzi wengi wanaotarajia kujiunga na CCM kwani wanaamini kuwa ndiyo chama pekee chenye kupigania na kutetea maslahi ya wanyonge nchini.

hao mianne wanatafuta fursa duh uliotukuka ha haaa
 
Back
Top Bottom