Utendaji uliotukuka wa Rais Magufuli; Wanafunzi 400 UDSM wajiunga na CCM

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,607
2,000
Wadau,

Wanafunzi zaidi ya 400 kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameamua kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa Rais Magufuli. Wanafunzi hao walifanya maamuzi hayo katika mkutano wa ndani uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Kibangu Ubungo.

Wamesema pia kuwa wapo wanafunzi wengi wanaotarajia kujiunga na CCM kwani wanaamini kuwa ndiyo chama pekee chenye kupigania na kutetea maslahi ya wanyonge nchini.
 
KING 360

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,014
2,000
Wadau
Wanafunzi zaidi ya 400 kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam wameamua kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa JPM. Wanafunzi hao walifanya maamuzi hayo katika mkutano wa ndani uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Kibangu Ubungo.
Wamesema pia kuwa wapo wanafunzi wengi wanaotarajia kujiunga na CCM kwani wanaamini kuwa ndiyo chama pekee chenye kupigania na kutetea maslahi ya wanyonge nchini.
hio haishangazi wasomi ndio wametifikisha hapa
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,313
2,000
kwenye Kuimarisha Chama Kikwete kazidiwa sana na Mh. John Pombe Joseph Magufuli!
Kipindi chake 2005-2015 ilikuwa Watu wanaona aibu kuitwa CCM Ukiwa viunga vya Udsm,

kila Mara maandamano ya Wanafunzi kutukana Chama na Serikal

Pongezi za dhati sana Mh. Rais
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,762
2,000
Wadau
Wanafunzi zaidi ya 400 kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam wameamua kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa JPM. Wanafunzi hao walifanya maamuzi hayo katika mkutano wa ndani uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Kibangu Ubungo.
Wamesema pia kuwa wapo wanafunzi wengi wanaotarajia kujiunga na CCM kwani wanaamini kuwa ndiyo chama pekee chenye kupigania na kutetea maslahi ya wanyonge nchini.
Chini ya utawala huu hela za ccm zitaliwa sana, na wanaozila sana ni wapinzani kuliko wafia chama wa ccm
 
msindikizaji

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,622
2,000
kwenye Kuimarisha Chama Kikwete kazidiwa sana na Mh. John Pombe Joseph Magufuli!
Kipindi chake 2005-2015 ilikuwa Watu wanaona aibu kuitwa CCM Ukiwa viunga vya Udsm, kila Mara maandamano ya Wanafunzi kutukana Chama na Serikal

Pongezi za dhati sana Mh. Rais
Tema mate chini.....
 
BAFA

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
3,069
2,000
kwenye Kuimarisha Chama Kikwete kazidiwa sana na Mh. John Pombe Joseph Magufuli!
Kipindi chake 2005-2015 ilikuwa Watu wanaona aibu kuitwa CCM Ukiwa viunga vya Udsm, kila Mara maandamano ya Wanafunzi kutukana Chama na Serikal

Pongezi za dhati sana Mh. Rais
Jk alifanya maksudi anaamini ktk demokrasia lengo ni upinzani ustawi wala hakuwa na uadui na upinzani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom