nashukuru na wewe kwa maelezo yako na lugha ya uungwana, sasa kwa kifupi hao askari walikuwa na busara au walitenda haki kwa suala la huyo ndugu aliyekuwa na unga wa ugali au? maana kumlazimisha mtu kula unga ni kama kumzalilisha na kutumia madaraka vibaya ingekuwa ni ugali wenyewe ni ngewaelewa au chakula kinacholika. na zaidi ya hapo kumewekwa njia za kisasa cha kugundua kitu kibaya mfano unga/drugs kuna mbwa kama na kama walizani ni sumu au chemical yoyote basi weka kwenye check in luggage sije kuitumia vibayaasante sana kwa maelezo yakomazuri,ungalisoma ya kwangu kwa umakini zaidi nadhani ungalipata mwanga kidogo japokuwa sikueleza kwa undani zaidi na sina haja ya kufanya hivyo.labda niseme machache kidogo:
1.vimiminika vyote vinaruhusiwa kuingia navyo ndani ya ndege isipokuwa lazima ujazo wake uwe 100ml au kushuka chini.yaani kimiminika kisiwe zaidi ya 100ml,na pia visiwe zaidi ya kumi.yaan jumla ya ujazo isiwe zaidi ya 1000mls.yaani mls mia mia kila kimoja.hii haihusishi maji.ukinunua dutty free kimiminika chochote lazima kifungwe kwenye mfuko maalum unaoonyesha(plastic),uwe sealed na risiti iwemo ndani ya mfuko.
2.kwa uchache tu katika usalama wa anga kuna mambo makuu ma5 ambayo huzingatiwa:
a).unlawful seizure of an aircraft
b).sabotage of an aircraft on and off the airport
c).sabotage of an airport
d).sabotage of off airport facilities
e).terrorist attacks
matukio yote yanakuwa categorised katika vipengele tajwa hapo juu.kinachoangaliwa na wanausalama airport sio tu kuzuia ndege isitekwe au mtu asiingie na silaha au mabomu etc bali hata uwezekano wa mtu kumshambulia mtu mwingine aidha kwa silaha au acid au chochote kile kinacholeta madhara.sio kila kitu utakiruhusu kiwekwe kwenye check in luggage.imagine ndo kaweka chupa la acid bahati mbaya likamwagika unategemea nini?BRO,WITH SECURITY SOMETIMES YOU HAVE TO BE RADICAL,UKIFANYA KOSA MOJA KWA MTU MMOJA UMETEKETEZA ZAIDI YA ROHO 200 ZILIZOKO NDANI YA AIRBUS 340 YA EMIRATES.
.........Nina hakika huyu dada ameonyesha kuwa yeye au ni mshiriki wa hayo mambo na anafanya hivyo ili kukomoa wasafiri baada ya serikali kuwaijia juu hawa maafisa kutokana na baadhi yao kushiriki kkuwasaidia wasafirishajoi wa madawa ya kulevya. She acted emotionally to express her anger on the accusations being leveled against them.........
Pole sana kwa yaliyo kukuta mkuu,kwa kawaida kuna mashine ya kutest unga,kulazimishwa kuonjeshwa haikuwa njia sahihi.
Ilikuwa ni kiasi cha kuchota unga kidogo na kuuingiza kwenye mashine na majibu yangepatikana hapo hapo na ungeruhusiwa kuendelea na safari. Au pia kuna vifaa vya kutestia viko kama tester za umeme(au kwa lugha rahisi screw drivers)nikiasi cha kukichukua na kukichoma kwenye mzigo unaoshukiwa na majibu yangepatikana there and then.
Lakini pia kaka kuna wakati ambapo inamlazimu mtu kulazimishwa kuonja alichokibeba ila ni katika situation zifuatazo:
1. Huwezi ukatest maji kwenye mashine na kugundua kama ni acid au any other burning chemical, ili uweze kuyatest ni lazima yaonjwe, na wa kuyaonja ni abiria mwenyewe kwani maji hayo ni ya kwake. Kama itakuwa ni kitu tofauti na maji lazima abiria atagoma kuyaonja.(hii inakuwa pale afisa mkaguzi anapokuwa na mashaka na kimiminika hicho)
2. Kuna baadhi ya watu hubeba dawa zao za kienyeji kwa ajili ya safari, hivyo basi huwezi kuzitest zaidi ya kuwaambia wazionje kama kweli ni dawa na wanazitumia, kama sio dawa za kunywa basi wanashauriwa waziweke kwenye check in luggages.
3. Endapo afisa mkaguzi kawa na mashaka na mzigo wa abiria,baada ya kuutest na kugundua kuwa sio drugs, lakini akawa na mashaka kuwa inaweza kuwa ni sumu ya aina yoyote ile ambayo inaweza kuleta madhara wakati wa safari basi atamuhitaji mwenye mzigo aonje ili kuthibitisha kuwa sio sumu. Endapo itakuwa sumu basi hata muhusika hataweza kuonja.
NB:
MARA NYINGI MASUALA YA USALAMA HAYANA FORMULAR, ILI ABIRIA AWEZE KUSAFIRI LAZIMA AFISA MKAGUZI ARIDHIKE KUWA ALIYEMKAGUA NI SALAMA KABLA HAJAMRUHUSU KUENDELEA NA SAFARI. NI SUALA LA MTU KUJIRIDHISHA.
Yakuongea na bosi wao ni mambo ya ulaya..huku unaweza kujibiwa hayupo na ukaendelea kuchezeshwa rumba.
Mkuu,hapo nilipoweka kolezo nimegundua uwezo wako ni mdogo sana aidha kwa makusudi au kutoelewa labda unatuletea falsafa za arts.Tangu lini acid au kemikali za viwandani zikajaribiwa ka taste(Ulimi), mimi kwa chemistry nilosoma hakuna hata siku moja ukatumika utaratibu unaotudanganya hapa.Kuna vipimo kama Ph test,kuna litmus paper na vitu vingine.
nashukuru na wewe kwa maelezo yako na lugha ya uungwana, sasa kwa kifupi hao askari walikuwa na busara au walitenda haki kwa suala la huyo ndugu aliyekuwa na unga wa ugali au? maana kumlazimisha mtu kula unga ni kama kumzalilisha na kutumia madaraka vibaya ingekuwa ni ugali wenyewe ni ngewaelewa au chakula kinacholika. na zaidi ya hapo kumewekwa njia za kisasa cha kugundua kitu kibaya mfano unga/drugs kuna mbwa kama na kama walizani ni sumu au chemical yoyote basi weka kwenye check in luggage sije kuitumia vibaya