Utendaji mbovu wa ma HR (Human resources) wa TANESCO

Utendaji mbovu wa ma HR (Human resources) wa TANESCO

Tanwise

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
466
Reaction score
1,040
Muajiri ni mtu muhimu wa kuajiri right candidates kwenye interview. Lakini TANESCO ni majanga na waonezi, kuna ajira kama vile STE;TEMPORARY(day waka) na PERMANENT(ajira ya kudumu) Employment. Unakuta mtu ana vigezo vya kuwa permanent lakini anapewa temporary na anaweza fanya kazi kwa bidii sana mwisho wa siku wakitaka kuajiri permanent anakula shavu mtu mwingine kabisa. HII SI SAWA!
 
We hovyo kabisa..suala la kumpa mtu contract permanent au temparsry ni suala la kibajeti wala sio suala la vigezo..
 
ni vizuri usome kwanza sio unakurupuka..bajeti ipi sasa ya kuajiri temporary kwa miaka yote na si permanent...
 
ni vizuri usome kwanza sio unakurupuka..bajeti ipi sasa ya kuajiri temporary kwa miaka yote na si permanent...

Mkuu kwani kufanya tempo hapo kuna shida gani, kuna mshikaji wangu anafanya hapo tempo anasema wanalipa vizuri na anapata huduma zote kama mfanyakazi wa kudumu, wewe unakosa nini na nini unapata kama mmfanyakazi wa muda.

Je mishahara wanalipa tofauti kwa kada moja kwa mfanyakazi wa kudumu na wa muda?je marupurupu yanatolewa sawa kwa wafanyakazi wote?
 
mshara ni tofauti sana.permanent anapata mara mbili ya tempo pia tempo hana marupurupu kama permanent..hata hivyo job security ya tempo ni ndogo sana
 
Ww utakuwa mtoto wa mkulima ww....tanzania ya sasa lazima uwe na mtu wa kukisimamia na kukupush mpaka utakaposimama...mm HR haiwezekan nikupe permanent ww kisa unafanya kazi kwa bidii wakati nina mdogo wangu yuko chuo anamaliza mwaka unaofuata...!!atakuja utamfundisha kazi na ataajiriwa ww tabak as temp...tu....dunia haiko fear kijana
 
mshara ni tofauti sana.permanent anapata mara mbili ya tempo pia tempo hana marupurupu kama permanent..hata hivyo job security ya tempo ni ndogo sana

Kwa hiyo kama permanent analipwa 1000000, tempo hapo atapata 500,000?
Ungeweza kuiweka sawa mkuu utawaelimisha wengi wajue wanapopata kazi tempo huko nini watapata na nini watakosa.

Ni kweli tempo job security yake ni ndogo, ila nasikia wafanyakazi wengi wa huko ni tempo.
 
Hujaelewa point anayolalamikia mshikaji.

Kwenye ajira hakuna kigezo cha kumpa mtu kazi ya permanent au ya temporary...huyu ni mlevi achana naye ..tunaahira watu kwa qualifications and skills zao..mambo ya ajira ya muda au ya kudumu ni suala la uhitaji wa kazi iliyopo kama ni ya muda au ya kudumu
 
Temporary ni Miaka mingapi hapo? kwa sababu navyojua mikataba ipo ya aina mbili,Hivi 3 yrs contract renewable ni mbaya?
 
Kwenye ajira hakuna kigezo cha kumpa mtu kazi ya permanent au ya temporary...huyu ni mlevi achana naye ..tunaahira watu kwa qualifications and skills zao..mambo ya ajira ya muda au ya kudumu ni suala la uhitaji wa kazi iliyopo kama ni ya muda au ya kudumu

kama na ww ni hr basi inawezekana una certificate tu..
in short (qualifications and skills zao) ndo vigezo hivyo au english ni tatizo kwako alafu kila mtu anahitaji ajira rasmi sio unafananisha na ajira zako za ki hindi..ww kila ukijibu lazima utumie lugha chafu(mlevi) Y. ila one day itafahamika tuu.
 
We hovyo kabisa..suala la kumpa mtu contract permanent au temparsry ni suala la kibajeti wala sio suala la vigezo..

Kama unamwona mwenzako in hovyo kabisa, wewe nadhani ni zaidi ya HOVYO. Kwa nini unajjiweka kimbelembele kujibu masuala usiyojua mwisho unaonekana namna gani wewe ni mweupe mno kwenye haya mambo?

Kwanza mwombe msamaha kwa kumtukana wakati wewe ni mburura kuliko yeye.

"LABDA KWA SERIKALI YA CCM LAKINI DUNIA NZIMA, HAKUNA MTU ANAAJIRI WATU PERMANENTLY KWA KUWA ANA BUDGET YA KUTUMIA TU, BILA KUZINGATIA VIGEZO NA SIFA ZA ANAOWAAJIRI. HUU NI WENDAWAZIMU SEGERE".
 
Nadhani hapa suala zima ni kuangalia Ikama ya ofisi husika
Ikiwa pamoja na Personel Emolument (HR Budget) imekaaje
SINA IMANI NA UKAWA
 
muajiri ni mtu muhimu wa kuajiri right candidates kwenye interview.Lakini tanesco ni majanga na waonezi..kuna ajira kama vile STE;TEMPORARY(day waka) na PERMANENT(ajira ya kudumu) Employment.unakuta mtu anavigezo vya kuwa permanent lakini anapewa temporary na anaweza fanya kazi kwa bidii sana mwisho wa siku wakitaka kuajiri permanent anakula shavu mtu mwingine kabisa..HII SI SAWA

Hiyo nafasi ya kufanya temporary uliipataje? Labda tuanzie hapo kwanza
 
ivi wewe unajua mkataba watanesco uwe wakudum au miezi 6/3/15 unasema hutakiwi kusema siri za shirika. wew mbona mlopokaji nani akupe ajira . sisi sio wajinga huriziki nenda dawasco . sio twiga
 
tuwe tunafanya kazi kwa malengo ya kuja kuacha baadae na kujiajiri...juzi kati nilikua kampala, majanki wa kule waliishakata tamaa na kuajiriwa ni mwendo wa kuchangishana, kuchukua frame, kusafiri nje na kurudi na mzigo...
hapo tanesco atapiga tempo hadi akome ajira wanapeana na watoto zao...ajichange asepe zake..
 
Itakuwa ndugu yako cyo mpiganaji. Maana tanesco ninayoijua kama huna ndugu hata iyo tempo .kuipata ni shida.sembuse ajira.
 
Back
Top Bottom