Wadau Salama,
Nilikuwa najaribu tu kuwaza nje ya box mbona wasaidizi wa mh Rais ni kama hawapo tena ofisini hatujui tena wako wapi na wanafanya nini au kero Kwa watanzania zimekwisha?
Yuko wapi Hamisi kigwangala? Yuko wapi January makmba? Yuko wapi Mwigulu yuko wapi Sospeter Muhongo? Yuko wapi Ndalichako? wako wapi mawaziri waliokuwa na moto na kila siku walipamba vichwa vya habari vya magazeti Kwa habari za utendaji wao, wako wapi au ndo ile kauli ya mzee kingunge pumzi tayari imekata? NAWAZA TU