Mkuu Musso, hili mbona naliona kama sio swali!, hili mbona ni kama jibu tuu?!.Habari zenu wakuu, leo nimeona tupeane elimu kidogo kuhusu Mawaziri wakuu wetu, ukizingatia Waziri Mkuu ndiye mtendaji Mkuu wa shughuli za serikali Bungeni, Je ni yupi alikuwa bora haswa katika suala la utendaji na uchapaji kazi tukianza na wa kwanza Nyerere mpaka huyu wa sasa wa kumi, Mizengo Pinda? Je ni waziri mkuu gani aliboronga zaidi?
narudi badaeTatizo la kuunganisha THREADS zenye vionjo tofauti ndo hili.......
Mkuu Musso, hili mbona naliona kama sio swali!, hili mbona ni kama jibu tuu?!.
The best ever TZ PM, is one and only him!, of which, if he will be...!, for the second time since Nyerere, Tanzania will get the best ...ever!.
Huyu sii mwingine bali ni yule yule the one and only...
Pasco.
Mkuu Musso, hili mbona naliona kama sio swali!, hili mbona ni kama jibu tuu?!.
The best ever TZ PM, is one and only him!, of which, if he will be...!, for the second time since Nyerere, Tanzania will get the best ...ever!.
Huyu sii mwingine bali ni yule yule the one and only...
Pasco.
Watu mnawazungumzia Sumaye na Lowassa tuu, vipi Salim Ahmaed Salim, Mfaume Kawawa, Cleopa Msuya, Sokoine, Malecela na Warioba? utendaji wao ulikuwaje??
nazani hapa ni suala la umri wa wachangiaji, vijana wengi utawala wa kuanzia kwa sumaye kurudi nyuma walikuwa wadogo kiasi kwamba hawakujua nini kilichokuwa kinaendelea. Pia hata midia enzi hizo zilikuwa chache hivyo haikuwa rahisi mtu wa kawaida kufuatilia utendaji kazi wa waziri mkuu, kiwango cha elimu pia kilikuwa tatizo kwa watanzania wengi. Wasomi walikuwa bado wachache sio kama siku hizi. Mfumo wa chama kimoja haukuwa na chama cha kupresharaize chama tawala kama ilivyo sasa. Mambo yameanza kukaa sawa wakati wa mkapa na sasa kikwete. Ndio maana watu wengi wanamlinganisha mkapa na kikwete na si nyerere na mwinyi katika utendaji. Wakija wazee kama akina Kingunge ndie anaweza kuwa na data za kuwachambua mawaziri wakuu wote kumi maana alikuwa anajitambua kila utawala. Kijana mdogo utaishia kusoma data na kusimuliwa lakini hukuwepo enzi hizo. Hivyo utapata secondary data which are sometimes not reliable source.
maneno mazuri yanayosemwa kuhusu huyu jamaa huwa natamani atokee mwingine kama yeyeEdward Moringe Sokoine.