Serikali ya sasa ya tz imefanikiwa kutekeleza ilani ya chama tawala kwa asilimia kadhaa....mfano barabara na miradi mingine mingi tu inayo gharimu mabilioni ya kutosha kama ile plani ya bandari ya B/moyo...
wasi wangu ni wapi inapo patikana hela hiyo...takwim zinaonesha deni la taifa kuongezeka mara dufu....kwa kuwa tumeumbwa tu mbumbumbu tunakaa pembeni tunashangilia serikali yetu inafanya vizuri inatekeleza ahadi zake n.k kwani nani anashindwa kuomba na kutumia?majukwaani tunapanda kuwadanganya watz tumefanya 1,2,3......10 ila hiyo ni kwa gharama ya nani na gani kwa taifa?serikali makini ni ile yenye uwezo wa "kufanya mambo" kwa kutumia own source....na mbaya zaidi watz tunadanganyika dakika sifuri tunaambiwa "wanatuonea wivu kwa kuwa tuna raslimali nyingi"...nyambafu mbona deni linapanuka raslimali hizo hazitumiki kutupunguzia mzigo?.....kama kweli tuna raslimali nyingi mbona unanyemelea hata buku ya line yangu ya simu?....nadhani kila chama kina huo uwezo...so what is so special?sitaki nizae mtoto leo akute anadaiwa...
watz funguka wacha kudanganywa