SYLLOGIST! JF-Expert Member Joined Dec 28, 2007 Posts 8,853 Reaction score 8,248 Jan 29, 2024 #61 Fekifeki said: Bongo raha sana,, sihami ng'o! Click to expand... Bongo una hama kivipi tena wakati kila uchwao mswano tu. Na Burundi siendi Ng'o
Fekifeki said: Bongo raha sana,, sihami ng'o! Click to expand... Bongo una hama kivipi tena wakati kila uchwao mswano tu. Na Burundi siendi Ng'o
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 5,457 Reaction score 13,811 Jan 29, 2024 #62 Kalpana said: Huyo muache kiswahili yake ni mbovu mnoo..amesema yy ni mkenya alielowea Tanzania.. Click to expand... 🤔🤔, basi yawezekana ni mkeya, siyo Mbaya anajitahidi. 🤝
Kalpana said: Huyo muache kiswahili yake ni mbovu mnoo..amesema yy ni mkenya alielowea Tanzania.. Click to expand... 🤔🤔, basi yawezekana ni mkeya, siyo Mbaya anajitahidi. 🤝
M Makojo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 4,670 Reaction score 5,719 Jan 29, 2024 #64 rodrick alexander said: CCM kwa maigizo bongo movie hawaoni ndanj Click to expand... Anayeigiza hapo ni nani? Makonda au huyo mjane?? CHADEMA mmepotezwa mpaka mnachanganyikiwa. Na ubunge ndo hivyo mtausikia tu
rodrick alexander said: CCM kwa maigizo bongo movie hawaoni ndanj Click to expand... Anayeigiza hapo ni nani? Makonda au huyo mjane?? CHADEMA mmepotezwa mpaka mnachanganyikiwa. Na ubunge ndo hivyo mtausikia tu