Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
UTAZAMAJI WA MWILI KUPITIA KIGANJA
Unasaidia sana kufahamu kila aina ya matatizo yaliyopo ndani yako.
Kupitia kiganja chako unaweza kufahamu nyota yako halisi, unafahamu matatizo yanayokukabili ndani ya mwili wako na katika ulimwengu wako wa kiroho.
Ikiwa unatamani sana kufahamu utabiri wa matukio yajayo ndani yako basi kupitia kiganja chako cha mkono utafahamu zaidi mengi na mengi. Ikiwa unatamani sana kujua nyota yako halisi na kujua nyota yako imebeba ujumbe gani? basi kupitia kiganja chako utafahamu
Kiganja chako kimebeba taarifa zako na hata ikitokea mtu kakuchezea basi kiganja chako kitaonesha mtu huyo kakuchezea nini na nini.
Ikiwa unahitaji kujua asili yako ni ipi na mizimu yako basi kiganja chako kitasema kila kitu kukuhusu wewe ikiwemo kujua vifungo ndani yako.
Nyota hutazamwa kupitia kiganja kwa maana kiganja ni ufungo unaofungua jumba la umilele ikiwa ni pamoja na matatizo yako yote.
Mafanikio yoyote yale ndani yako yanapaswa kutazamwa kupitia kiganja, ikiwa unahitaji mke ama mme wa kuendana naye basi kiganja na unyayo hivi huonesha ni njia ipi upitie ili ufanikiwe na ni njia upite kufanikisha hitaji lako.
Ndani ya kiganja imefichwa password ya wewe ambayo ukifanikiwa kuifungua moja kwa moja hii password huelezea ni kito gani kikiwa katika nyota fulani kitakufanikishia mambo yaani kila mmoja katika kiganja chake anakito maalum kito hicho akikivaa humfanikishia mambo.
Katika kiganja kuna taarifa ya kitu ambacho kinaendana nawe na kuna taarifa ya Pete ambayo inaendana nawe ambayo inaweza kulifanikishia mambo mengi.
Ikiwa unahitaji jambo lolote kulifanikisha katika maisha yako inafaa urejelee kile kilichomo katika kiganja chako kwa maana hapo kuna kila kitu juu yako hata ukitaka kugombea jambo fulani basi rudi kutazama kiganja chako na fanyia kazi kwa maana kila mtu atainuka kupitia mikono yake.
Kuna watu wanawashwa viganja lakini hawajui wafanyeje lakini uhalisia kiganja kikiwa kinawasha hiyo ni taarifa itazame inasemaje.