Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Hutatulia wewe na roho mbaya yako.Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Haya mambo wasiyoyajua ndio watashangaa.Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Ukiona hivyo ujue huyo ni mfuasi wa hayati.Kawaida hakuna Rais ambaye hakuwa na watu wa kwenda nao toka Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Sasa Samia wote waliweka watu wanaowaamini kwenye tawala zao!!
Muhimu tupiganie katiba mpya iliyo bora haya ndio yataisha!!
Chuki zako kwa serikali ya awamu ya sita zitakuja kukuua!Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Nchi imetulia kwa Bei zipi?Hutatulia wewe na roho mbaya yako.
Nchi imetulia na amani imetawala.
Hakuna kitu kibaya kama kukosa common understanding....Mimi naogopa precedence inayo kuwa set....The future is in black box...God remember and spare my country!Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Fanyeni kazi acheni,kulialia na kulalamikaUnapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
ni wakati wa wale waliotamba na kufanya watakavyo kuwa watazamaji kwa sasa. Navyoona mimi hakuna game lolote lile, maza kashapiku turufu ya kuwa Rafiki wa wapinzani kosa ambalo mwendazake alilifanya.Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
kigogo ana uchungu rafiki yake kanyonyolewa manyoya bila maji ya moto.