Utawala wa Sheria

Nchi yetu ingekuwa na utawala wa sheria huyu mhuni na jambazi angekuwa lupango saa hizi, lakini sheria zinapindishwa huyu mhuni jambazi hataguswa. Nchi inaelekea mahali pabaya sana.

Hebu Fanya maarifa haifunguki
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijui nini inasababisha hii Mkuu. Wengine wanaweza kufungua wengine hawawezi kuzifungua. Ngoja niangalia kama naweza kuipata kwingine.

QUOTE="mshana jr, post: 20847963, member: 98741"]Hebu Fanya maarifa haifunguki[/QUOTE]
 
Kama kesi iko mahakamani kwa nini hawa wanalinda. Wanalinda nini.This is so stupid. Rais lazima achukue hatua. Kwa nini anaruhusu mambo hayo?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nchi yetu ingekuwa na utawala wa sheria huyu mhuni na jambazi angekuwa lupango saa hizi, lakini sheria zinapindishwa huyu mhuni jambazi hataguswa. Nchi inaelekea mahali pabaya sana.

Huyo kambaya ni rafiki mkubwa wa Daud Bashite ni mtu hatari yapaswa apewe kichapo cha haja licha ya kushinda kwa waganga wa kienyeji akijihami
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lipumba kwa sasa anatumia pesa nyingi za Umma kwa njia haramu huku CCM wakiamini Profeselii mjinga mjinga atawasaidia kuua CUF na kudhoofisha ukawa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nchi yetu ingekuwa na utawala wa sheria huyu mhuni na jambazi angekuwa lupango saa hizi, lakini sheria zinapindishwa huyu mhuni jambazi hataguswa. Nchi inaelekea mahali pabaya sana.

Huyo kambaya anatakiwa apewe kisago mpaka ajisaidie live mbele za watu
 
Ni wazi sasa Lipumba na wafuasi wake wanaitegemea Chama chakavu kama msaada wao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nchi yetu ingekuwa na utawala wa sheria huyu mhuni na jambazi angekuwa lupango saa hizi, lakini sheria zinapindishwa huyu mhuni jambazi hataguswa. Nchi inaelekea mahali pabaya sana.

Mkuu BAK wakati mwingine ukweli tuuseme bila woga inaweza kuwasaidia hawa Polisi wetu.
Hivi hawaoni hizi double standard zinawafanya Polisi wakose ushirikiano na jamii? Juzi huko Kibiti vijana wetu 8 wameuwawa na majambazi (au magaidi) na bila msaada wa RAIA wema kazi ya kukamata mtandao huo ni ngumu sana na itaongeza uadui na RAIA.
Lakini hao hao wanaona wahalifu kama Lipumba na Kambaya wanapiga viongozi na waandishi na ushahidi upo lakini wanajifanya hawawaoni na kutudharau tunaolalamika.
Nachelea kusema kuwa, matukio kama ya huko Kibiti yanaweza kuwa sio mwisho na bado watahitaji msaada wa RAIA kuwabaini na itakuwa ngumu kupata kwani kumbe kuna wahalifu wanaolindwa na jeshi hilohilo wakiumiza wananchi
 
18056838_1079575565519253_3395067738407358863_n-jpg.501311
 
Back
Top Bottom