tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
Kuna kaugonjwa kanaitwa, "personality disorder"Ugonjwa alionao Ndugai una athari kubwa na hivi sasa unaelekea kuligharimu Taifa...
Ni dhahiri India wameshindwa.
Salute sana Mkuu.Kuna kaugonjwa kanaitwa, "personality disorder"
Katika Utawala wa Sheria kokote duniani, si afya njema, kwa Spika wa Bunge kufanya kazi kwa Amri za Rais.
Mfano:
Amri: "Wewe (spika) watoe nje, nitawashughulikia"
na baada ya siku chache Spika anatekeleza.
Tukidai Katiba ya wananchi muwe mnaeelewa.
Halafu nasikia Accacia wanakuja na mbinu yao mpya inaitwa "The Diplomatic War Strategy" kwenye suala la makinikia. Sasa sijajua wale wa kujua kusoma na kuandika a.k.a Bashite wataambulia.Utawala wa sheria kwenye nchi gani? maana Watanzania wengi tumekuwa wanafiki, nchi hii hakuna utawala wa sheria hata ccm wanajua hilo.
Demokrasia ya Tz ni ya mashakaJamani sasa ndugai anatokana na CCM mnategemea afanyaje hata mungekuwa nyie-huku kule CCM magufuli ndio bosi wake
Jamani sasa ndugai anatokana na CCM mnategemea afanyaje hata mungekuwa nyie-huku kule CCM magufuli ndio bosi wake
Kosa lilifanyika mwaka 1992 wakati wa kubadili katiba kuingia mfumo wa vyama vingi. Tuliruhusu mfumo huo wa vyama vingi shingo upande huku katiba ya nchi na mfumo wa uendeshaji bunge na serikali vikibaki katika mtindo wa chama kimoja tena chama dola.Demokrasia ya Tz ni ya mashaka
Unaposema unawapenda sana Watanzania halafu unakataa Katiba yao a.k.a Katiba ya Warioba, basi wewe ni mnafiki tu.kwa hapa bongo rais ni kila kitu wengine ni mende tu kiuongozi.