Utawala wa Sheria: Spika hapaswi kufanya kazi kwa Amri za Rais.

Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,562
2,000
Sio kwa Tanzania hii iliyo jengwa kwa Mfumo unao toa mwanya kwa Raisi wa Nchi kuingilia kokote,tatizo Kuu ni mfumo..Mfumo hauja chora mstari mwekundu..
 

cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,238
2,000
Ha ha haaaaaaaa

Awamu hii ni ya tano, wajiheshimu wakiwa bungeni.

Hapa kazi tu
 

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,131
2,000
Katika Utawala wa Sheria kokote duniani, si afya njema, kwa Spika wa Bunge kufanya kazi kwa Amri za Rais.

Mfano:
Amri: "Wewe (spika) watoe nje, nitawashughulikia"
na baada ya siku chache Spika anatekeleza.

Tukidai Katiba ya wananchi muwe mnaeelewa.


Utawala wa sheria kwenye nchi gani? maana Watanzania wengi tumekuwa wanafiki, nchi hii hakuna utawala wa sheria hata ccm wanajua hilo.
 

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,834
2,000
Utawala wa sheria kwenye nchi gani? maana Watanzania wengi tumekuwa wanafiki, nchi hii hakuna utawala wa sheria hata ccm wanajua hilo.
Halafu nasikia Accacia wanakuja na mbinu yao mpya inaitwa "The Diplomatic War Strategy" kwenye suala la makinikia. Sasa sijajua wale wa kujua kusoma na kuandika a.k.a Bashite wataambulia.
 

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
11,437
2,000
Jamani sasa ndugai anatokana na CCM mnategemea afanyaje hata mungekuwa nyie-huku kule CCM magufuli ndio bosi wake
 

Rogart Ngaillo

Verified Member
Apr 27, 2013
854
1,000
Ndugai huwa anakuwa mnyoonge pale AnkoMagu akiwa pembeni yake.....
Nawafundisha wapiga kura wangu kwamba kuna mihimili mitatu inayoishikilia dola,Bunge likiwemo...na halipaswi kuingiliwa ktk majukumu yake...
Sasa tangu nimuone Ndugai akiyasujudu maagizo aliyopewa pale MAKINIKIANI,imebidi nitengue kauli! "MIHIMILI HII MITATU INAPEWA MAAGIZO NA KIONGOZI WA MUHIMILI MMOJA...ova"
Shubaaamit!
 

Ombudsman

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
3,572
2,000
Nakutoa nje mara ya kwanza.

Nakutoa nje mara ya pili.

Nakutoa nje mara ya tatu.

Askari,simama toa nje uyo.
 

Geechie

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
976
1,000
Leo saa kumi na moja mpaka saa kumi na mbili nilichokiona hii TV isiyopendwa nimesikitia tu afya ya akili wapiga meza
 

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
14,356
2,000
Jamani sasa ndugai anatokana na CCM mnategemea afanyaje hata mungekuwa nyie-huku kule CCM magufuli ndio bosi wake

Demokrasia ya Tz ni ya mashaka
Kosa lilifanyika mwaka 1992 wakati wa kubadili katiba kuingia mfumo wa vyama vingi. Tuliruhusu mfumo huo wa vyama vingi shingo upande huku katiba ya nchi na mfumo wa uendeshaji bunge na serikali vikibaki katika mtindo wa chama kimoja tena chama dola.

Katiba mpya ya wananchi inatakiwa kudaiwa na wote kwa pressure hata ikibidi kugharimu maisha ili haki kwa wanaobaki ipatikane kwa wote bila kujali chama chochote .

Hili la wabunge ikibidi kusimama pamoja si mbaya ili watu waje mezani. Otherwise manyanyaso yataendelea.
 

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
14,553
2,000
Ndo wale wale,ndo maana nasema tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom