Utawala wa Saudi Arabia Kitovu cha Ugaidi Duniani

Utawala wa Saudi Arabia Kitovu cha Ugaidi Duniani

Lakini ni waislam
Vitendo vyao havihusiani na uislam.
Na mtu alofanya hvyo kwa mujibu wa uislam amekufuru si katika sisi.
Usiangalie nn muislam kafanya angalia nn uislam unatakiwa ufanyiwe na nn uislam unasema.
Unawatafsirije wale mapapa walofungisha ndoa za uasherati kanisa la anglican????
Nao wali si wakristo???
Hii kadhia umekaaje??
Tuwalaumu wao kukiuka misingi ya dini husika ama tuilaumu dini husika moja kwa moja???
 
Hatari xana.
464133806_73449.jpeg
 
Kuna maskofu na mapadri huko Marekani wamekutwa kesi za usherati dhidi ya watoto wadogo wa kiume. Je tutalihukumu kanisa kwa makosa ya hawa wapuuzi wachache ?
 
Kuna maskofu na mapadri huko Marekani wamekutwa kesi za usherati dhidi ya watoto wadogo wa kiume. Je tutalihukumu kanisa kwa makosa ya hawa wapuuzi wachache ?
Kama kanisa linahalalisha hayo mambo unalihusisha nalo

Kama halihalalishi hayo mambo unahusishanishaje hayo mambo ?!
 
Kuna maskofu na mapadri huko Marekani wamekutwa kesi za usherati dhidi ya watoto wadogo wa kiume. Je tutalihukumu kanisa kwa makosa ya hawa wapuuzi wachache ?
Ndivyo nilivyokua namuuliza huyu jamaa hapa anayeuhukumu uislam kiujumla kisa makosa ya waislam baadhi.
 
Yani mantiki yake anapolizungumzia kanisa amekusudia dini kiujumla je tuilaumu dini kiujumla kwa makosa ya wafuasi wachache???
Jibu laaa hapana.
Huwez ilaumu dini wakat haijahalalisha Huo Upupu
 
Tayari business as usual Marekani inapeleka majeshi Saudi Arabia
Baada ya mashambulizi ya Sept 11 2001 ilikuja kufahamika kati ya magaidi 20 waliotekeleza mashambulio hayo 19 walikuwa ni raia wa Saudi Arabia, wote tunajua baada ya ugaidi huo mamilioni ya raia wasiokuwa na hatia wamepoteza maisha yao huko Afghanistan, Iraq nk.
Leo tumeona nchi ikitumika tena kwa kutaka kuleta vita vya kinyuklia mashariki ya kati kwa kutoa kisingizio kuwa Iran imeshambulia vituo vyake vya mafuta. Huu mpango wa utawala huu ukishirikiana na Israel ni baada ya kuona mahusiano ya serikali ya Marekani na Iran yalikuwa yanaanza kuimarika na hata kufikia hatua ya Rais Donald Trump kumtimua kazi aliyekuwa mshauri wake wa usalama John Bolton ambaye alikuwa mstari wa mbele kutaka nchi ya Iran ishambuliwe.
Dunia nzima inajua serikali ya Saudi Arabia na washirika wake unyama wanaoufanya dhidi ya watu wa Yemen ambapo mamilioni ya raia wasiokuwa na hatia wameuwawa pia. Leo wananchi wa Yemen wakijibu mapigo wanakuwa magaidi na Iran inasingiziwa kuwa ndio imeshambulia.
Dunia isitegemee kuwa salama chini ya hawa wafalme Bin Saudh wa Saudi Arabia.
 
Huu uzi utageuka kuwa mapambano ya kidini
 
Back
Top Bottom