We mwenyewe akili huna kama wewe uliaminishwa na kuamini kuwa dunia inamika hiyo tajwa ndivyo nayeye kasoma na kuamini hivyoFanya kazi ndugu. Dunia hii tuliyopo ina umri Wa 4.5 billion sasa wewe endelea kuota. Utakufa wewe na siyo Dunia
Wew ndio akil huna ndugu yangu.. kama zipo mashine za kukupima umri wako accurately kabisa had sekunde uliyozaliwa. Pia jua kuna mashine znapima umri wa miamba accurate kabisa.. sasa ipo miamba dunian hapa ina umri wa miaka had 3.2bilion.. ukibisha na hili bas sina budi kukuita ngwiniWe mwenyewe akili huna kama wewe uliaminishwa na kuamini kuwa dunia inamika hiyo tajwa ndivyo nayeye kasoma na kuamini hivyo
Yote hayo ili iweje kwa mfano.. shida yootr hyo ili iweje?... Inamana mwanadam kaumbiwa aje ateseke au..? Kwamba ili yeye tu aprove kwamba anampenda mungu au?.. hahaha. Dah.. din hiz zmetuweza kwakwel?Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho.
Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili tukio. Utakuwa utawala wa mateso mazito wa miaka Saba.
Kimsingi Vita inayoendelea Kati ya Ukraine na Russia ni maandalizi ya huyo jamaa maana atatokea hapo umoja wa ulaya. Atakuja na agenda ya kurekebisha uchumi wa dunia kumbe ndiyo ataharibu kabisa.
Ndani ya hiyo miaka 7, hutafanya chochote bila chapa yake hiyo ambayo Kila mwanadamu atalazimika kuwa nayo. Chapa hii itakuwa ya lazima. Miaka hiyo Saba kutatokea mateso ya kutisha katika uso wa dunia. Jinsi ya kukwepa Hilo ni kumwamini Yesu na kuokoka. Kanisa kipindo hicho litakuwa halipo duniani
Kabisa hii dunia bado itaendelea kuishi makadirio huenda ikafikia miaka bilioni 4.5 ,sayari ya mass inachunguzwa binadamu kuishi, na hapo kuna watu wataenda kuishi sayari ya mass tena na yenyewe ijae fikiria huo ulimwengu utakuwa na mwisho liniFanya kazi ndugu. Dunia hii tuliyopo ina umri Wa 4.5 billion sasa wewe endelea kuota. Utakufa wewe na siyo Dunia
Kubishana siwezi poa kilamtu abaki na imani yakeWew ndio akil huna ndugu yangu.. kama zipo mashine za kukupima umri wako accurately kabisa had sekunde uliyozaliwa. Pia jua kuna mashine znapima umri wa miamba accurate kabisa.. sasa ipo miamba dunian hapa ina umri wa miaka had 3.2bilion.. ukibisha na hili bas sina budi kukuita ngwini
Ishu ya kupima umri sio ya kiimani.. ni sayansiKubishana siwezi poa kilamtu abaki na imani yake
Ukienda kwenye maandiko matakatifu kuna mambo yameandikwa lazima yatokee kuna hii kitu inaitwa " maarifa "watu watakuwa na uwezo wa kutengeneza vitu na kubuni vituUtawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho.
Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili tukio. Utakuwa utawala wa mateso mazito wa miaka Saba.
Kimsingi Vita inayoendelea Kati ya Ukraine na Russia ni maandalizi ya huyo jamaa maana atatokea hapo umoja wa ulaya. Atakuja na agenda ya kurekebisha uchumi wa dunia kumbe ndiyo ataharibu kabisa.
Ndani ya hiyo miaka 7, hutafanya chochote bila chapa yake hiyo ambayo Kila mwanadamu atalazimika kuwa nayo. Chapa hii itakuwa ya lazima. Miaka hiyo Saba kutatokea mateso ya kutisha katika uso wa dunia. Jinsi ya kukwepa Hilo ni kumwamini Yesu na kuokoka. Kanisa kipindo hicho litakuwa halipo duniani
ward41 Umesema kweli. Kweli isiyoonekana kwa haya macho wala fikra za kawaida. Watakubeza ndiyo lakini kutimia yatatimia tu.Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho.
Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili tukio. Utakuwa utawala wa mateso mazito wa miaka Saba.
Kimsingi Vita inayoendelea Kati ya Ukraine na Russia ni maandalizi ya huyo jamaa maana atatokea hapo umoja wa ulaya. Atakuja na agenda ya kurekebisha uchumi wa dunia kumbe ndiyo ataharibu kabisa.
Ndani ya hiyo miaka 7, hutafanya chochote bila chapa yake hiyo ambayo Kila mwanadamu atalazimika kuwa nayo. Chapa hii itakuwa ya lazima. Miaka hiyo Saba kutatokea mateso ya kutisha katika uso wa dunia. Jinsi ya kukwepa Hilo ni kumwamini Yesu na kuokoka. Kanisa kipindo hicho litakuwa halipo duniani
Haya ni mambo ya rohon, hata hizo chapa za 666 zinapigwa rohoni na sio mwilini. Shetani hawezi kuja kukwambia akupge chapa ya 666 au laah. Bora umemueleza ukweli mpinga kristo wa kwanza anaweza akawa hata yeye.Tuliza kichwa home boy,kikubwa shika imani yako haya mambo hayako kama unavyofikiria wewe.
Huyo mpinga kristo unayesema anaweza kuwa ata wewe sema hujijui, kwanini nasema hivyo, ni kwamba those who believe in Jesus Christ are asked not to judge others or be alarmed by any signs that might display.
Sasa kama wafuasi wote wa kristo wanakumbushwa haya, wewe sasa kwanini usiwe mpiga kristo kwa maana hata ujumbe wa bwana haujui
Basi baki na sayansi mimi nibaki na imaniIshu ya kupima umri sio ya kiimani.. ni sayansi