utawala bora na utitiri wa migomo Tanzania does it make sense?

utawala bora na utitiri wa migomo Tanzania does it make sense?

Kaelenga

Member
Joined
Mar 3, 2012
Posts
10
Reaction score
0
napata mashaka na jitihada za viongozi wa juu wa kisiasa Tanzania kujionesha wasafi mbele ya macho ya mataifa mengine wakati hali ndani ya nchi kiutendaji si shwari na ni uozo kila kona unayo gusa, kuanzia kwa wanafunzi mpaka wafanyakazi! hali hii inajieleza vipi katika report ya utawala bora?
 
Back
Top Bottom