Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
MFANYABIASHARA maarufu wa kampuni ya MM Distributers ,Boniphace Mshana (Mtaveta) mkazi wa majengo jijini Arusha,ameingia matatani na jeshi la polisi kufuatia vifo vya utata kwa wafanyakazi wake wawili katika duka lake la saruji .
Tukio hilo ambalo limezua gunzo na minong'ono kwa wakazi wa jiji hapa, limetokea katika duka la mfanyabishara huyo lililopo eneo la Majengo ambapo wafanyakazi wake wawili walipoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa vibaya na wamelazwa katika hospitali ya mkoa Mt Meru kwa kutokana na vifo kuhusishwa na ushirikina na kwamba kila mwaka wafanyakazi hupoteza maisha.