jamani basi mwenzenu nikawa nanunua muda wa maongez kutoka mpesa..kila nikinunua inakatwa yote.nikawa sielewi basi kuna mshkaj akanikumhusha kuna jaymillnyoko sijui..aisee nilikasirikaa..wakati cjawah hata kujiunga..popote ulipo wewe unaehusika na vodanyoko...SHE*N-ZI TYPE. nyau wewe na mnirudishie hela yangu. mnajua naitafutaje??
Wezi wakubwa hao.
Hata Hao Airteller Na Toyota Ist Zao Ni Wizi Uleule Maana Tokanimeanza Kuwasikia Washindi Wahizo Gari Redioni Niwalewale.. Yule Kondakta Wamagari Ya Congo,burundi,mama Muuza Nyanya Nabinti Anaesemewa Namamake Atoe Sadaka,wizi +wizi=ufisadi.