Utata wa updated fee structure SAUT

Maftago

Member
Aug 13, 2012
50
1
Wana Jf naomba kuwashirikisha kuhusu utata uliopo kwenye update ya fee structure ya chuo cha SAUT,iliyoonyesha ulipaji wa ada kwa miaka 4 kwa degree,Je?inamaanisha tutakao anza degree tutasoma miaka 3 au 4 pia linganisha na post iliyotumwa leo jf kuhusu utata wa tcu guide book jua ya muda wa masomo wa Bsc geology kati ya miaka 3 au 4.Je?kwa mnafikiri kwa mwaka wa kwanza degree tutasoma miaka 4 au fee structure ya SAUT inayoonyesha ulipaji wa ada kwa degree ni mwaka 1,2,3,4.inamakosa?
 
Back
Top Bottom