Utata wa mimba

Alafu nyie bana, sasa mpo chuoni mmeshindwa kusubiri mmalize hilo lililowapeleka huko....kwa hiyo hiyo ndio degree umempatia ?
 
Mmmh, Mkuu hapo taa ya njano imewaka., hopefully you know what I mean
 
ivi condom ya sh 5000 au 2500 ni sheeeda?
 
asante, itawezekanaje kuchukua dna bila mama kujua? had mtoto afikie miez mingapi ndo naweza chukua dna?

kwanini huyo binti mjeuri hivyo lakini?? kama umri wa mimba upo ndani ya kipindi cha uhusiano wa kutiana accept it, ila ujeuri wake ushaniboa
 
asante, itawezekanaje kuchukua dna bila mama kujua? had mtoto afikie miez mingapi ndo naweza chukua dna?

Haina sababu kumchek ukishalea wako huyoo
Mbona wengi wamelelewa na wasio babazao na hawajui
 
ivi condom ya sh 5000 au 2500 ni sheeeda?
inshu ishatokea, don't blame me. unajua wanawake wabishi kutumia condom, after all kama mko safe condom ya nini?! umakini huitajika siku za hatar, na mwanamke ndo hujua cku zake za hatari but she didn't tell me!
 
kwanini huyo binti mjeuri hivyo lakini?? kama umri wa mimba upo ndani ya kipindi cha uhusiano wa kutiana accept it, ila ujeuri wake ushaniboa
nasubiri ajifungue ili nicalculate the day we met and a day she gives birth
 

Naomba usome ID yako!!
 
Umeeleza kwa ufupi mno. Siamini huyo binti aliyatoa hayo majibu ulipomwuliza bila kuwa na mazingira ambayo yalimsukuma kukujibu vibaya.

Fikra zangu hiyo ni mimba yako ila wewe kila mara umeonekana kutopenda kupata mtoto. Hivyo msichana wako aliona ili usimsumbue au kumshauri akatoe aheri akujibu hivyo.
ni kweli ila nahisi hujui how it pains mwisho wa siku unagundua si yako, kwanza rafiki zangu watanishangaa sana coz walikuwa wanajua relation yetu. asante lakin
 
nasubiri ajifungue ili nicalculate the day we met and a day she gives birth

mpaka ajifungue ni leo, angalia kadi ya clinic kuna EDD na last MP utajua kama wewe ndio unahusika au lah
 
wala sio eti mimi sipendi mtoto. nilimuuliza kwa upole but majibu ndo yakawa hayo. but kwasaa ni mpole hatari, yaan hadi namshangaa kawa so close than ever before
 
Huyo demu kauzu kweli, kwangu Mimi ningependa nipate taarifa mapema kwa sababu kujifungua ni gharama na kulea ni gharama, inahitajika kudunduliza hela za boom, field na unawapanga watu wa kukupa msaada kama ukikwama, sasa imebaki miezi mitatu ndio anakwambia ? Kwanza kakuona ----( Hilo ni jambo kubwa sana).
Mimi nakushauri hata usihangaike huyo sio mwanamke wa kuoa, na hiyo ndio kajitafutia sababu, wewe cha kufanya lea mtoto na uhakikishe unapima DNA( ndio reliable), mambo ya kucalculate siku futa kabisa mawazoni
 
asante kwa ushauri
 
Haya na ilo la mda gani binti anahisi anamimba je
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…