Utata wa mimba

Hapo mkuu we kimbia tu maana unaunganishiwa tu
 
Hiyo mimba kuna uwezekano mkubwa si yako. Kuna mwenzako mlo kuwa mna share naye sahani moja. Aliposhirikishwa hii kitu akaruka ndo wewe ukaja ambiwa after 5 months!!!! Hakuna kitu msichana hayuko tayari kama kubeba mimba bila kumshirikisha mwenzi wake. Sasa wewe unakuja ambiwa baada ya miezi mitano! Na siku zote anajua unapatikana wapi! Kuna kitu hakipo sawa hapo bro...
 
nshawai kufanya nae. kwanini hakunambia mapema icho ndo kinanifanya niwe na mashaka.

Kwa sababu alikuwa anahakikisha baba sahihi...

Na jumba bovu limekuangukia weye sheikh....
 
duuhhh, sijui wanafunzi kwa wanafunzi wanapata wapi ujasiri wa kubebeshana mimba.
Hongera baba kijacho.
Anzeni kutafuta mazingira mazuri kwa ajili ya mtoto
 
Uu! mpendwa hapa kuna utata mkubwa ww siuko dar subil ajifungue then mkapime DNA Mana nikama huyo bibiye nimuongo
 
Unazinguwa mwanangu, kondom usitumie mimba ushangae, Nafikiri ni ujinga kuzani mimba ni ya mwanaume mwingine, wakati wewe pia mwanaume, ushauri wangu kwako, tembea kifua mbele cause we kidume cha mbegu sio cha kuliwa.
 
kwanini hakumtuhumu toka mwanzo kama ana chepuka, kufikiri mimba si yako ni staili ya kukwepa majumu ya kulea ujauzito. Tatizo la kufanya vitu na kudhalau impact yake, unapo ingiza tu tambua matunda yake ni mimba hatakama ni sekunde moja.
 
Wewe ndo umejenga hoja wengine wanatumia hisia, na kwa maelezo ya mtoa maada anasema walipanga kutokuwa na mtoto mapema akaenda kuchukua dawa famasi sasa iweje taarifa za mimba akazipate kwa rafiki wa nje na si kwa muhusika?
 
kwanini hakumtuhumu toka mwanzo kama ana chepuka, kufikiri mimba si yako ni staili ya kukwepa majumu ya kulea ujauzito. Tatizo la kufanya vitu na kudhalau impact yake, unapo ingiza tu tambua matunda yake ni mimba hatakama ni sekunde moja.
Kama kweli unafikiri ni yake kwa nini taarifa azipate kwa rafiki zake? na kwa nini wakat anaulizwa alikuwa mkali ili hali akijua mwenye mimba ndo huyo?
 
Good reasoning, watu wanaona wanaongea kwa hisia na mazoea hapa kuna kitu kimejificha mwanamke asingeweza kufanya hivyo kama kweli mimba ni ya jamaa et akiogopa kuambiwa aitoe hakuna kitu kama icho, jamaa ake wajadiliane vizuri
 
Unazinguwa mwanangu, kondom usitumie mimba ushangae, Nafikiri ni ujinga kuzani mimba ni ya mwanaume mwingine, wakati wewe pia mwanaume, ushauri wangu kwako, tembea kifua mbele cause we kidume cha mbegu sio cha kuliwa.
ni kweli ila nahisi hujui how it pains mwisho wa siku unagundua si yako, kwanza rafiki zangu watanishangaa sana coz walikuwa wanajua relation yetu. asante lakin
 
exactly, i wanted to say the same
 
shukran bro!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…