Utata wa mimba

asante kwa ushauri
 
Jamaa anataka kuhakiki kama yeye ni Baba husika au kabambikiwa. Hana jinsi hapa inabidi asubiri mtoto azaliwe ili afanye DNA kuhakiki kama yeye ni Baba husika.

" kama ninayo si ina baba ake?''...what a line!!!
 
Inaonesha kuwa nyie waume mpo zaidi ya mmoja kwahiyo alikuwa bado hajafanya maamuzi anafikiria ni yupi wa kumpa mtoto na hatimaye ameamua akupe wewe baada ya vigezo alivyovitaka kuvipata
 

Mkuu jiongezee wewe, kusoma hujui hata lugha ya picha pia ikushinde!!?....Sema nakushauri uzungumze nae vizuri then kama unahisi anakupenda kweli basi hayo mengine mwachie Mungu coz mtoto ni Baraka kutoka kwa Mungu no matter amepatikanaje na mazingira yapi....Be responsible kama dada anakupenda kweli na wewe kumpenda...All the best baba kijacho.
 
asante. dada ananipenda kweli hilo nshaprove
 
Inaonesha kuwa nyie waume mpo zaidi ya mmoja kwahiyo alikuwa bado hajafanya maamuzi anafikiria ni yupi wa kumpa mtoto na hatimaye ameamua akupe wewe baada ya vigezo alivyovitaka kuvipata
mmh! hawa akina dada ni shida kweli!
 

Pole sana, hapa waweza kupata ushauri wa kukupa presha ila kwakuwa umeomba basi jiandae tu kupokea kila aina ya ushauri unaopenda na usioupenda.

Sababu ya kwanini hakukwambia mapema inawezekana kabisa alikuwa na mpango wa siri na aka fail.

Possibly alitaka kuitoa bila wewe kujua au kuna mtu mwingine alimpa akakataa ndio hakuwa na jinsi akakuhusisha wewe. jibu la "kama ninayo si ina baba yake" sio inshu maana angeweza kukwambia hivyohivyo kama angempa mwingine.

Na wewe mkuu, unamahusiano na mwanamke mjamzito huoni changes zozote hadi uwambiwe na marafiki zake!!!!!?
 
kiukwel nilikuwasijui chochote, siku moja dada fulani alinicheka sana (rafiki yake) baada ya kumwambia mi cjui kama ana mimba. sikuona changes zozote ndugu yangu
 
mbuzi kwenye gunia mwenzie kakataa anakupa wewe
mteme haraka au subiri ajifungue mtoto hufanani nae kimbia haraka
 
(kama ninayo si ina baba ake)
Una bahati wako shuleni laiti kama wangekuwa likizo ungetukanwa mpaka makaburi ya kwenu na ujinga wako
 

Na chuo hzo ndo habari ya mjn.....nina uhakika na hilo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…