Sioni sababu ya malumbano nani aliongea mara ya mwisho na Mwal. Ningeona kuna jambo la maana lolote kama hawa watu wangelikuwa wanasema waliongea na Mwalimu Nyerere aliongea nao nini kwa nyakati zao tofauti.
Kinachojalisha na kinachoweza kuwa ni cha maana ni nini alisema na siyo huu upumbavu wa kushindania mimi niliongea naye wa mwisho na si yule. Ujinga mtupu.
Sishangai msekwa kudanganya..ni jadi yao
Nyerere aliuawa baada ya kuonekana ni kero wakati akilalamikia uwekezaji usio na Tija , wizi wa pesa za umma , EPA nk , ilikuwa akirejea toka London aje kuwaelezea Watanzania jinsi asivyolizishwa na hali harisi ilivyokuwa kwenye Rasilimali za Nchi ndipo wasaidizi wakamtonya Mkapa kuwa Nyerere anakuja kuharibu hali ya hewa na ingeathili mambo mengi yake binafsi , ndipo anafunga Safari mwenyewe kwenda London lakini kabla ya kwenda huko alipitia sehemu Fulani alipofika London aliomba kuongea na Nyerere pasipo kuwepo na msaidi yeyote yaani wote waliondolewa kabsa akabaki yeye na Nyerere tu , baada ya kuondoka ndipo hali ya Nyerere ikabadilika ghafra na kuwa mbaya na hatimae mauti Msekwa anajua Movie yote ilivyo lakini kaamua kukwepa lawama lakini marehemu kawawa aliwahi kudokeza kidogo hata mama Maria Nyerere anajua kila kitu sema kaamua kuvumilia milele.
Mambo ya kifo cha Nyerere muulize mkapa..
Mkuu umeongea mambo mazito sana kumuhusisha mutu yeyote na kifo cha Nyerere si neno dogo
Kwa upole kabisa naomba nijibu swali hili ukiombwa ushahidi wa hayo uliuoyasema unaweza kuutoa?
Kama taifa tutakuwa tumepata pa kuanzia.
Kwanini Msekwa seme yeye ndio wa mwisho na kwanini wasaidizi waseme Mkapa ndio wa mwisho?
Kitu kinaitwa Ushahidi Tanzania hakijawahi kufanya kazi Kama unakumbuka aliyekuwa Mbunge wa Musoma mjini Vicent Nyerere aliwahi kusema kwenye vyombo vya habari kuwa Nyerere hakufariki Kwa mapenzi ya mungu Bali aliuwa Kama unataka ushahidi mtafute vicent Nyerere atakupa ushahidi .
Mkuu umeongea mambo mazito sana kumuhusisha mutu yeyote na kifo cha Nyerere si neno dogo
Kwa upole kabisa naomba nijibu swali hili ukiombwa ushahidi wa hayo uliuoyasema unaweza kuutoa?
Kama taifa tutakuwa tumepata pa kuanzia.
mkuu utawekwa korokoroni,ooh......Kwa 100% Nyerere hakufa Kwa mapenzi ya mungu bali ilibidi Afe kuondoa kiwingu watu wapige pesa kirahisi pasipo kuwekewa Usiku.