Utata wa kifo cha muuguzi Bagamoyo

Utata wa kifo cha muuguzi Bagamoyo

paqwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,335
Reaction score
3,130
Fabian alikuwa muuguzi katika hospitali ya WILAYA ya bagamoyo, anasifika kwa uchapakazi na ukarimu wake kwa wagonjwa.

Jumapili ya juma hili alipatikana nyumbani akiwa amefariki katika nyumba alimokuwa amepanga na ukapatikana ujumbe unaowataja watu wawili, mmoja wa kike na mwingine wa kiume.

Inasemekana alikuwa na ugomvi na girlfriend wake ambaye anasemekana Ni Malaya wa kutupwa na huyu Ni mwanaume wa pili kufariki kiutatauta akiwa na mahusiano na huyo dada. Huyo dada pia ana sifa ya uvutaji bangi na wizi hapo Bagamoyo.

UTATA juu ya kifo hicho unaanza pale kifo chake kiliposemwa amejinyonga. Je daktari aliitwa kwenye eneo la tukio? Crime scene.? Picha iliyosambaa unaleta maswali kwasababu urefu wa kamba ilipofungwa na urefu wake asingeweza kuning'inia. Pili haionekani alipanda wapi au alitumia kitu gani kujitegua ili akabwe.

Wito: Waliotajwa kwenye ujumbe washikiliwe mpaka pale vyombo Vitakapojiridhisha Ni suicide na sio homicide au foul yoyote.

Mwenyezi Mungu amrehemu muuguzi.
 
Ukute ni kesi ya mke wa mtu...,watu wa idara ya afya wengi wao umalaya siyo inshu na ndomana jamaa hakujali chochote licha ya girlfriend wake kua malaya.
 
Sasa wewe una sifa ya ustaarabu, ukarimu, uchapakazi, nk halafu unaingia kwenye mahusiano na msichana mwizi, mvuta bangi, malaya sijui wa kutupwa, nk! Vitu viwili visivyo endana kabisa. Watu kama hao hutumika kibaharia tu yaani 'Hit and Run'.

Apumzike kwa amani.
 
Mkuu usicheze na kiherehere cha moyo
 
Huyu jamaa bana kuna classmate wake kanambia eti alisomesha demu then demu kaenda olewa na mtu mwingine.sasa sijui lipi ni lipi
 
Sasa wewe una sifa ya ustaarabu, ukarimu, uchapakazi, nk halafu unaingia kwenye mahusiano na msichana mwizi, mvuta bangi, malaya sijui wa kutupwa, nk! Vitu viwili visivyo endana kabisa. Watu kama hao hutumika kibaharia tu yaani 'Hit and Run'.

Apumzike kwa amani.
Mwili na roho havitengani
 
Kwa maelezo yako mpaka kaacha ujumbe inaonekana kajiua labda kwa wivu wa mapenzi

Je ni kweli ujumbe huo kauandika marehemu?
kama kifo kina utata je Post Mortem imefanyika kabla ya mazishi?
Kama kuna utata zaidi basi karatasi yenye ujumbe, Mwajiri, mwenendo wake wa siku ya tukio, majirani na marafiki hii inawahusu kutoa mwanga wapi Police waanzie kazi yao
 
Sasa boss unasema sehemu aliponing'inia ni pafupi Hadi urefu wake haulingani nae alafu unauliza hakuna kitu alitumia kupanda
 
Huo ujumbe aliandika nani sasa!??
 
Je ni kweli ujumbe huo kauandika marehemu? kama kifo kina utata je Post Mortem imefanyika kabla ya mazishi?
Kama kuna utata zaidi basi karatasi yenye ujumbe, Mwajiri, mwenendo wake wa siku ya tukio, majirani na marafiki hii inawahusu kutoa mwanga wapi Police waanzie kazi yao
Ukisoma maelezo ya mtoa mada inaonekana jamaa kajiua hakuna sehemu yenye mashaka kwa sababu kamtaja mpenzi wake direct
 
Back
Top Bottom