Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Alijiona ana akili kushinda binadamu wote kumbe wenzie wanajua pa kummalizia .

Akaongeza ulinzi mabunduki kila kona kumbe wenzie hawana mpango wa kumshoot wanamsubiri azime tu wakamminyie hospital.

Pambaf zake.
Watu noma
 
Yule mpemba R.I.P baada ya mapambio kule kilwa road alirudi magogoni na mgeni huyo ila kilichofuatia huko Haile Selassie Na shaban robert au cocobeach ni bendera nusu mlingoti na nyimbo za komba.
Mbona watu wengi, ninao wafaham, hawapendi hawasemi nini hasa chanzo. Alifanya nini mpemba mpaka akapelekwa puta mazima mazima
 
Nimepata muangaza sasa... kwanini M7 walitaka kumpoteza?
 
Pia aliwezaje kubadilisha sahani bila kushtukiwa?
 
Weeee usinambie.... hebu ongeza nyama kidogo, usitupe supu ya makongoro, weka stake kabisa
 
Upo vizuri
 
Mkuuu MKUU kuhusu sokoine utueleze siku Moja kuhusu hilo!!!aliharibu wapi mtu mzalendo vile!!!?
 
Daah nimefika Mwisho hatimae ila aisee Haya mambo ya DSTV na nafasi nyeti kwenye Nchi ni mambo magumu sana nilipoangalia na Series kama Homeland ndo nkajua Umafia upo watu wana system zao ukitaka kwenda Against nazo inabdi uwe tayari kuacha pumzii....!! PK na DRC naona moshi unazidi kufukaa tuu hawana muda wale kitawakaaa.. Chattle boy kajipumzikia sasa boys2men wanakulaa maishaa tuu yani msererekooo wa maaana but all in all Mr.Clean nae ni mafia sana sema haachi trace...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…