Wewe ndiye shida zaidi kuliko hao wa TZ, yaani ili uamini Bashite alivamia Clouds TV unataka video ya tukio hilo iwekwe mtandaoni?Hii ndo shida ya waTZ, mnapenda kukurupukia mambo bila hata kujua mantiki ya jambo. Na ndo maana daily tunaendeshwa na matukio tena mengine hayana hata msingi,
Video ya RC akivamia kituo cha habari ipo, why haiwekwi mitandaoni ikaonekana instead inaonekana nusunusu
unless nao clouds wana agenda ya siri ya kuonyesha huko nusutukio, otherwise RC asingekuwepo alipo leo kwa sbb ushahidi wa uovu upo, why waliofanyiwa uovu hauweki hadharan???????????????????????
Hata kama umetumwa kaka yangu tumia na akili yako co ku-paste akili ya waliokutuma yote.
Kama hoja yko ni mambo yawe na ushahidi, Je wewe una USHAHIDI gan kuwa RUGE alikuwa na maslahi na RC na sasa amepata maslahi zaidi pengine??? Kwa kuandika hapa tu ndo ushahidi wako.
Je wapi (section) ya sheria ya ushahidi (Cap 6) inasema PART OF VIDEO evidence is INADMISSIBLE unless the full???.
Je waliokutuma ndo wamekwambia sheria ya ushahidi (supra) kuwa ushahidi wa video ndo mkubwa kuliko wowote ule??.
Kawambie kuwa JF members wamekataaaaa!! na kwamba WAMEONYA kuwa Tanzania kwa mjibu wa sheria ya ushahidi (supra) na maamuzi ya mahakana za juu USHAHIDI mkubwa ni DIRECT EVIDENCE (perceived by sense organs) kwa case hii yaan ushahidi wa Kuona!. Huo wa computer devices hutumika hasa kwenye masuala ya kibiashara (eg bankers). So Vijana wa SHILAWADU kwa sababu wana ushahidi wa kuona (direct evidence) ndo mkubwa kuliko. Wee unataka kugeuza CLIP ile kuwa filamu/move ukiwa umepumzika so inakuboa tu pale inapokuwa fupi.
Wewe ndiye shida zaidi kuliko hao wa TZ, yaani ili uamini Bashite alivamia Clouds TV unataka video ya tukio hilo iwekwe mtandaoni?
Angalau wewe mwenyewe ungekuja na "hojaji" za kimantiki kuliko huo upupu ulioibuka nao hapa. Kaa kimya utaendelea kujiabisha tu!Hawa ndo wale wale vilaza waliombiwa elimu elimu elimu, EL alijua tu huku CDM ni mavilaza tu. chochote yatakachoambiwa yatafuata hayajui kuhoji wala kuuliza
pathetic
Unafahamu hilo suala liko katika hatua gani kwa sasa?why not, video ipo na ndio ushahidi usio na shaka
au unaniambia mnamuamini sana ruge kuliko hiyo video
IdiotNiende moja kwa moja kwenye mada,
Kuna habari chungu nzima zinazoelezea jinsi RC wa Dar es Salaam alivovamia Clouds Media lakini habari hii ina ushahidi kidogo sana, ushahidi mkubwa ni mahojiano ya Bw Ruge na waandishi wake wa habari, na clip fupi inayomuonyesha RC akiingia na kutoka ofisin kwao.
Kila mtu anayemjua Ruge anamjua ni mtu wa maslahi, ni mwepesi sana kumgeuka yoyote kunapo maslahi. Hili linaweza elezewa vzr na Mr II (Sugu) kuliko yoyote. Asingeweza kuacha maslahi makubwa aliyenayo kwa RC huyo na kugombana naye unless anamaslahi mengine makubwa zaidi, na kwa maana hiyo maneno yake siyo ya kuzingatiwa saana labda kama yana ushahidi mwingine wa ziada.
Kwa hilo, ingekuwa vyema Clouds Media wakatoa ushahidi huo wa ziada kwa kuonyesha mkanda mzima ukionyesha uvamizi ule ili ndugu RC ashtakiwe kwa hilo na kwa sababu ushahidi wa video ni mkubwa zaidi ya ushahidi mwingine wowote ndugu makonda hawezi kukwepa kamwe huko mahakan au kokote ushahidi utakapoonyeshwa.
Swali la kujiuliza why haujatolewa ushahidi woote huo either kwenye TV yao au mahakan na badala yake zimeanza kuwekwa hadithi moja baada ya nyingine (vyeti,uvamizi,utakaji....) mpaka mwishowe verse zitaisha na hakuna lililobadilika.
Naamini haki ya RC na Clouds Media ziko kwenye hiyo video. Clouds Media watuweke wazi ili tumjue mkuu wa mkoa vzr na tumhukum kwa hilo na si maneno yao.
Kwa video hiyo hatutahitaji vyeti wala tuhuma za yeye kumteka ROMA, ila bila video hiyo itakuwa ni hadithi tu kama hadithi nyingine zozote, baada ya utamu na uwongo wa hadithi kila mtu anakung'uta matako yake na kwenda kukojoa then kulala kesho tukisubiria hadithi nyingine.
The point is, don't accuse someone based on fabricated evidence.What is your point.
Swissme
Sijajua hasa unachotaka kufafanua kwani huelewekiNiende moja kwa moja kwenye mada,
Kuna habari chungu nzima zinazoelezea jinsi RC wa Dar es Salaam alivovamia Clouds Media lakini habari hii ina ushahidi kidogo sana, ushahidi mkubwa ni mahojiano ya Bw Ruge na waandishi wake wa habari, na clip fupi inayomuonyesha RC akiingia na kutoka ofisin kwao.
Kila mtu anayemjua Ruge anamjua ni mtu wa maslahi, ni mwepesi sana kumgeuka yoyote kunapo maslahi. Hili linaweza elezewa vzr na Mr II (Sugu) kuliko yoyote. Asingeweza kuacha maslahi makubwa aliyenayo kwa RC huyo na kugombana naye unless anamaslahi mengine makubwa zaidi, na kwa maana hiyo maneno yake siyo ya kuzingatiwa saana labda kama yana ushahidi mwingine wa ziada.
Kwa hilo, ingekuwa vyema Clouds Media wakatoa ushahidi huo wa ziada kwa kuonyesha mkanda mzima ukionyesha uvamizi ule ili ndugu RC ashtakiwe kwa hilo na kwa sababu ushahidi wa video ni mkubwa zaidi ya ushahidi mwingine wowote ndugu makonda hawezi kukwepa kamwe huko mahakan au kokote ushahidi utakapoonyeshwa.
Swali la kujiuliza why haujatolewa ushahidi woote huo either kwenye TV yao au mahakan na badala yake zimeanza kuwekwa hadithi moja baada ya nyingine (vyeti,uvamizi,utakaji....) mpaka mwishowe verse zitaisha na hakuna lililobadilika.
Naamini haki ya RC na Clouds Media ziko kwenye hiyo video. Clouds Media watuweke wazi ili tumjue mkuu wa mkoa vzr na tumhukum kwa hilo na si maneno yao.
Kwa video hiyo hatutahitaji vyeti wala tuhuma za yeye kumteka ROMA, ila bila video hiyo itakuwa ni hadithi tu kama hadithi nyingine zozote, baada ya utamu na uwongo wa hadithi kila mtu anakung'uta matako yake na kwenda kukojoa then kulala kesho tukisubiria hadithi nyingine.
nachoamini kama hili lisingekua kweli mtoto wa mfalme angeshawaburuza mahakamani kua wanamchafua....lakin kwa sabab n kwel na anajua ataaibika ndo mana kanyamaza kimyaaaaaaaaaa........Ikiwezekana, apandishwe kizimbani
why tunamtuhum wakati ushahidi upo, uwekwe wazi
nachoamini kama hili lisingekua kweli mtoto wa mfalme angeshawaburuza mahakamani kua wanamchafua....lakin kwa sabab n kwel na anajua ataaibika ndo mana kanyamaza kimyaaaaaaaaaa........