Utata: Uvamizi wa clouds FM

Hili jambo tunalifaham kwamba Makonda na Ruge walikua washatibuana kabla ya hii ishu ya uvamizi. Mfano Ruge anasema stori haikurushwa sababu haikua na balance sababu Gwajima hakupatikana kuelezea upande wake. Lakini tena anasema Gwajima alimpigia simu alhamisi na kipind kilikua ijumaa. Sasa walishindwaje kuibalance hy stori? Kitu kingine kuna stori nyiingi zimekua zikirushwa bila balance kwa kua upande wa pili ulikua haupatikani. So kuna ugomvi ulikuepo kabla ya hii ishu ya uvamizi.
 
Ile cd aliyopewa waziri inaonesha mambo aliyofanya alipoingia studio, tunasubiri akanushe tumeweke hadharani, hii itakua kama Gwajima ;

"Single touch double manifestation"
 
Kojoa ukalale ww
 
Kojoa ukalale ww
 
Ni kama kuna ka ukweli vilee!
 
Clips zote wakati anaingia na wakati anatoka zipo na nimefanikiwa kuziangalia

Hoja unayotaka kuijenga nadhani cha kwanza ni kwa sababu hujaziona video clips zingine ukiachilia ile anayoingia ndani ambayo ndiyo iliyosambaa sana

Swala la msingi hapa ni kuelewa tu makonda aliingia ofisi za watu bila kufuata utaratibu pia akiwa na walinzi kadhaa wenye silaha kibaya zaidi muda alioenda ni usiku na akaingilia utaratibu wa uendeshaji wa vipindi

Ruge mutahaba kaelezea vizuri tukio zima na hata kuhusu mawasiliano ya simu kati yake na mkuu wa mkoa

Nakushauri ingia YouTube utapata videos za ruge akiwa clouds 360 akilelezea

Sijajua unataka kutetea kipi hapo

Katika akili ndogo tu mkuu wa mkoa huyo alikosea
 
wewe ni BASHITE
 
Tatizo watu wakisikia kitu kinaitwa CCTV basi akili zinawaruka. Huo wanaouita ushahidi wa Makonda kuvamia Clouds katika clip iyosambaa mitandaoni sidhani kama hata kuna hakimu au jaji anaweza akairudia kuitazama mara mbili ili kuthibitisha kuwa Clouds ilivamiwa. Ile clip haina tukio lolote linaloitwa uvamizi labda kama kuna clip nyingine itakayoonyesha tukio la uvamizi. Ila kwa ile clip ni sawa na sinema ya watoto wa kihindi.
 
Unataka uzione ili iweje?

Nikupe mfano rahisi ukimchania binti chupi kwa lengo la kubaka hiyotayari ni kesi ya kubaka huhitaji video inayoonyesha umeingiza uume.

Hivyo kitendo cha kuonekana kaingia tu na watu wenye silaha nikosa.

Unatafuta kujua nini zaidi ya hapo?

Bora ungelala
 
Kama kuna watu wana clip hzo za ziada si warushe humu tuone tuwanyamazishe hao wanaomtetea mkuu wa mkoa otherwise wana point ya msingi... tusitumie maneno tuweke vitendo ubishi wa kusema sjui kojoa kalale mara we ndo wale wale mara luge alielezea kila kitu haina maana mpe clips ajiridhishe kama zipo. Kuna mwengine pia katoa maelezo mazur tu kuna habar huwa znatolewa na hazija balance mara nyingi kipind kile kinarusha stry afu unakuta hapo hapo ndo wanamtafta mhusika bila hata kumpa taarifa mfano ile ya joti na ishu ya young dee kuzaa na mdada na kumkataa.
Sasa walimpata gwajima on thursday via phone tena hayo mahojiano luge anasema mchungaj ndo alimpigia kwamba kaskia ishu iliyopo meaning kuna mtu alimtonya... anaebisha aseme nitafte clip ni post hiko kijipande
 
Wakuwekee wewe clip yenye ushahidi wote. Wewe ni mahakama?

 


Mbona ni kawaida yake kwenda kukesha pale akisimamia propaganda zake, au hulijui kuwa anakwendaga pale tangu enzi na enzi, why iwe siku ile tu kwenda ndo imekuwa hadithi!

Why ushahidi wa uvamizi uwe kwa maelezo wakati tukio zima liko rekoded, au ruge mmeanza kumuamini lini mpaka maelezo yake yatoshe pasiwe na ushahidi wa ziada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…