wanastahili adhabu kwa mujibu wa sheria za barabarani...but nini unamaanisha zaidi.?ni kufanya mapenzi ndani ya gari au kufanya ngono ndani ya gari?Maana ngono haiwezi kusababisha ajali,itategemeana na mazngra yaliyopo.
kuna watu ambao wamekuwa na tabia ya kuendesha gari huku wamewapakata wapenzi wao kimahaba na wanajisahau na kuwagonga watu au gari kupinduka namaanisha hivyo!
wanastahili adhabu kwa mujibu wa sheria za barabarani...but nini unamaanisha zaidi.?ni kufanya mapenzi ndani ya gari au kufanya ngono ndani ya gari?Maana ngono haiwezi kusababisha ajali,itategemeana na mazngra yaliyopo.
Sheria gani mkuu na kifungu gani kimetengeneza hilo kosa? baada ya post yako nimeipitia Tanzania road traffic act sijaona hilo kosa naomba unisaidie hiyo sheria niijue ili niweze kupanua uelewa wangu mkuu