Utata kuhusu kijana ukoje?

Utata kuhusu kijana ukoje?

Mamaaaaaa!!! Kwa hyo mim uzee utayari!! Natamani mwisho wa dunia ufike nizaliwe upyaa.

Nani kakuambia mwisho wa dunia watu wanazaliwa upya?
Kama hujafanya la maana hadi leo subiri kufa tu na hakuna kufufuka wala kwenda mbinguni maana hata hilo neno mbingu ni myths tu.
 
Kwa hyo Mungu hayupo??? Naogopa mim kupaza sauti hapa.
 
Jamani kwa kifupi na kulingana na maelezo mlotoa hapo, kwanza ahsanteni, lkn itimisho linaloonekana hapo ni kwamba hakuna tafsiri rasmi ya kutambua kijana hasa ni nani. Hapa yaonyesha wengi hawaoni kama umri ni kigezo, bali ni namna mtu anavyojiweka, yaani kaaji yake, updated, utendaji wake. Labda aje mtaalamu atwambie, thanks.
 
mkuu ujana ni suala la attitude/mindset tu!...japo kuna wengine 'udongo' unawahi kuchoka zaidi!
Unaweza amini Humphrey Polepole ni mdogo saaaana kwa Master Jay?
 
Naaam mkuu nimekupata, umenena vyema, lkn waweza fafanua why master j yuko vile na pole yuko vile??, ili sote tunufaike.
 
Back
Top Bottom