Utashi wa kiroho una nguvu kuliko silika za kimwili

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,403
Utangulizi wa Mengineyo Kwanza. Likizo imeisha, tetesi zimekoma, tarahuki zimeisha. Hakuna breaking news! Kilichopangwa kiwe tukio kubwa la kufunika mitandao na media zote limefifia kwa kishindo cha ajabu. Hizi si dalili njema! Wakati ni ukuta, usishindane nao!

Mnenguaji mahiri hujua ni wakati gani wa kuondoka ukingoni, kwani kushangiliwa sana kunapokoma, kifuatacho ni kuzomewa.

Tuendelee na Mada Yetu Sasa. Ulimwengu wa roho ni timilifu. Haupangiwi, haushurutishwi, haupokei maagizo ya kimwili, haudanganyi, na haubatilishwi. Badala yake, ulimwengu huu hufanya kinyume na hayo yote kwa kuwa huona yajayo kabla ya macho ya mwili kuona.

Katika medani za siasa za vyama vingi, ni kawaida watu kuhama chama kwa sababu mbalimbali, njema au ovu. Wahamao kwa utashi wa kiroho na kwa nia njema huwa hawahukumiwi na nafsi zao wala hawaweweseki kila fikra za walikotoka zikiwajia. Lakini, wahamao kwa silika za kimwili huku utashi wa kiroho haujatoa kibali hujikuta wakitaabika sana.

Hali hii hutokea pia kwenye mahusiano na hukera sana, ikizidi kuwa ngumu kuzuilika kwa namna yoyote ile kwa kuwa huendeshwa na utashi wa kiroho!

Upendo Peneza na Mchungaji Peter Msigwa, waliokuwa wanachama na viongozi wa CHADEMA, walihama kwa sababu zozote zile zilizowafanya waondoke CHADEMA na kujiunga na CCM. Walilazimisha kinyume na utashi wa kiroho, wakitegemea silika za kimwili ziwe na nguvu zaidi ya utashi wa kiroho – lakini ikashindikana kabisa. Ndio maana mawazo ya CHADEMA hayawatoki kabisa.

Silika hizo za kujiona bado wako CHADEMA kwenye majukwaa ya CCM ni utashi wa kiroho usiopangiwa wala kushurutishwa! Wako kwenye mtanziko mkubwa sana; nyuma ya kelele za majukwaani wanapopewa vipaza sauti, kuna kihoro cha usaliti kinachowandama.

Kwa upande mwingine, hili ni suala la Msigwa na Peneza, lakini vipi kuhusu hiki chombo cha habari? Unaweza kusema ni 'typing error,' lakini uhalisia ni kwamba mafunuo ya kiroho yana nguvu kubwa kuliko silika za kimwili.

Thread: "Ulimwengu wa Roho ni Timilifu"

Tundu Lissu keshatia nia.

Good morning Tanganyika ❤

IMG-20240816-WA0090.jpg
 
Simply ina maana kwenye ulimwengu wa kiroho, jina la Chadema ni kubwa zaidi ya jina la CCM.

Chadema inatawala roho za watu, wakati kimwili wakiimba CCM, roho zao zinawaambia tofauti.
 
Endeleeni kuweweseka hivyo hivyo wakati wote wenye akili Timamu na wanaojitambua wakiendelea kujing'atua ndani ya CHADEMA na kuelekea CCM.watu hawawezi kuendelea kubakia CHADEMA wakati wanaona namna chama kilivyokosa Dira na muelekeo na kubakia kikijikokota kwa kuchechemea Utafikiri kipofu gizani.
 
.
Hakika hii kalamu imebarikiwa Sana .
❤❤❤🙏🏿🙏🏿
Maneno mafupi na yanaeleweka.
📌🔨💪🏿

20240816_114502.jpg
 
View attachment 3072194
 
Naomba kuuliza Mshana Jr , mfano Katika ulimwengu wa roho unasema kuwa fulani atakuja kupata nafasi katika organisation e.g kukalia kiti, kuendesha na kuendeshwa na kusimamia wengine au atakutana na wazungu watamfikisha mbali..

Swali; Je hayo kwa wengine(waganga, nabii au wenye macho ya rohoni) waliyoyaona kwenye ulimwengu wa roho wa mtu Je Wanaweza batilisha hiyo Hatma ya Mtu isifikiwe??

Au ndo ile watachelewesha tu ila hatma ya mtu ipo pale pale?
 
Inategemea na uthabiti wako kiroho .. Kama ukisimana imara ni suala la muda tuu .. Kamwe usije nawewe unaenda kwa watu kama wanganga nk kutafuta suluhu.. Umekwisha
 
Je kama waliyoyaona hayo yote ni waganga kama 3 na wakatabiri maana nao si wana access na mambo ya rohoni...!? Na sio kwamba wanakutengeneza kwa sababu ya hiyo kazi hapana! Yaani ni kitu kilichoonekana hata kanisani/watabiri/nabii.

Kuna dogo alitabiriwa tangu 2021, 2022, 2024 sasa huu mwaka 2024 kuna organisation moja hivi international dogo ndo anahisi ndo hiyo hiyo ya utabiri.

Hii inakaaje kwenye ulimwengu wa roho?
 
Utangulizi wa mengineyo kwanza
Likizo imeisha.. Tetesi zimekoma.. Tarahuki zimeisha.. Hakuna breaking news! Kilichopangwa kiwe tukio kubwa la kufunika mitandao na media zote.. Limefemea kwa kishindo cha ajabu mno.. Hizi si dalili njema sana! Wakati ni ukuta usishindane nao!
Mnenguaji mahiri hujua ni wakati gani wa kuondoka ukingoni kwakuwa kushangiliwa sana kukikoma.. Kifuatacho ni kuzomewa..

Tuendelee na mada yetu sasa
Ulimwengu wa roho ni timilifu.. Haupangiwi
Haushurutishwi
Haupokei maagizo ya kimwili
Haudanganyi
Haubatilishwi bali hufanya kinyume cha hayo yote kwakuwa huona Yajayo kabla ya macho ya mwili kuona

Kwenye vilinge vya siasa zenye vyama vingi ni kawaida sana watu kuhama chama kwasababu mbalimbali njema na ovu pia
Wahamao kwa utashi wa kiroho na kwa nia njema huwa hawahukumiwi na nafsi zao wala huwa hawaweweseki kila fikra za walikotoka zikiwajia.. Lakini wahamao kwa silika za kimwili huku utashi wa kiroho haujatoa kibali hujikuta wanaweweseka sana
Hii hali hutokea sana hata kwenye mahusiano na hukarahisha sana na ni ngumu kuzuilika kwa namna yoyote ile kwakuwa huendeshwa na utashi wa kiroho!
Upendo Peneza na Mchungwaji Peter Msingwa waliokuwa wanachama na viongozi wa CHADEMA chama kikuu cha upinzani Tanganyika kwa sababu zozote zile zilizowatoa CHADEMA na kujiunga na CCM walilazimisha kinyume na utashi wa kiroho.. Walizitegemea silika za kimwili ziwe na nguvu zaidi ya utashi wa kiroho na ikashindikana kabisa ndio maana wenge la CHADEMA haliwatoki kabisa kwenye fikra zao
Zile silika za kujiona bado wako CHADEMA kwenye majukwaa ya CCM ni utashi wa kiroho usiopangiwa wala kushurutishwa....! Wako kwenye mtanziko mkubwa sana.. Nyuma ya zile kelele majukwaani wanapopewa vipaza sauti kuna kihoro kikubwa sana cha usaliti kinawaandama!
Anyway hao ni Msigwa na Peneza lakini je vipi na hiki chombo cha habari!? Unaweza kusema ni 'typing error' lakini uhalisia ni kwamba mafunuo ya kiroho yana nguvu kubwa kuliko silika za kimwili

Thread 'Ulimwengu wa roho ni timilifu' Ulimwengu wa roho ni timilifu

Tundu Lissu keshatia nia...
Good morning Tanganyi

Good morning Tanganyika❤View attachment 3072167
Naomba uni pm nakutafuta Mshana Jr
 
Back
Top Bottom