Eeebwanaeee..Ukitoka hapo lazima una fungus na nyungunyungu!
Watakuwepo lazima kukinyesha mvua lazima wawepo!Hapo kwenye blue, umenikumbusha zamani sana..
Hivi nyungunyngu bado wapo ??
Hapo kwenye blue, umenikumbusha zamani sana..
Hivi nyungunyngu bado wapo ??
huyo lazima ni fake
Hapo kwenye blue, umenikumbusha zamani sana..
Hivi nyungunyngu bado wapo ??
Watakuwepo lazima kukinyesha mvua lazima wawepo!
Tatizo ni kwamba idadi ya watu inaongezeka kwa kasi na machafuko ya mazingira pia yanachangia hao wadudu kutoweka...Cheki kwenye madimbwi ya maji kukinyesha mvua unaweza kubahatika kuwapata lol....Ngoja niwatafute hao nyungunyugu weekend hii.
Enzi hizo hata hapa mjini Dar kulikuwa na vipepeo, panzi, 'tisa disemba', na wadudu wengine wa mashambani.
Siku hizi hata chura kumuona hapa Dar ni kazi kweli.