FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
hey kuna ka kisanga hapa kazini nilikiona dada mmoja kila siku alikuwa anakuta msg za malavdav kwenye simu za mzee akimuuliza anasema wrong namba hizi msg zinaingia kimakosa sio zangu mdada akawa na subira hatimaye akaamua kuchukua namba ya simu ya mwizi wake ..wakaanza ushost.. mala eeh uko wapi namna gani na kadharika ..kweli wakawa mafriend na wakakutana one day saloon..
Binti akamkaribisha mwizi wake home ...kashemsha hot water na kuweka kwenye thermos ..
mdada kaja kapewa kinywaji na binti akampigia mzee kuna mgeni wako ..mzee kuja kadondoka na kufaint ..kilichoenda ni ugomvi na kuishia kupelekana police ,makovu juu mwenye mali akimlalamikia mwizi wake kamvamia home kwake ..mwizi akaishia kulala ndani sijui kama bado wanaendelea na ka wizi kao
Just for personal interest, Unafanya wapi kazi FL1?
mie ni mamantilie au mamalishe magomeni
...Mbona hata wakaka wevi wapo? Issue ni kwamba hata wakaka wakigundua kuna njemba inanyemelea my wife wako then unakuta sms kwenye cm ya mamaaa au ndio rijamaa rimempigia my wife wako...?hii thread inawahusu hasa madada kulingana na jinsi ulivyouliza
thanks have great day today
fl1
mie ni mamantilie au mamalishe magomeni
haaa jamani FL mbona umeshindikana wewe....una majibu ya haraka haraka balaaa...umenifurahisha sana.
siwezi kujibu kwa kuwa sijui, na ndo maana nikauliza. huwa na imagine in that state mtu atasema nini au atatukana, au atanyamaza au au au............
Kuna hii tabia ya wanawake wakigundua waume zao au BF zao wanacheat na hasa wakipata namba za mgombea mwenza kupitia simu za waume zao, wanaamua kuwacontact wale wezi wao, sas mimi huwa nashangaa je yule mwizi wako akiamua kukutukana na kukudhalilisha zaidi itakuwaje? Kwangu mimi nadhani ni vizuri u-deal na mumeo, lakini kwa napenda kupata maoni tofauti ya watu.
1. Ukijua unaibiwa na ukipata contact za mwizi wako je utamcontact?
2. Kama wewe ndo mwizi wa mume wa mtu na mwenye mali kakushtukia kakupigia au kutext utareact vipi?
haaa jamani FL mbona umeshindikana wewe....una majibu ya haraka haraka balaaa...umenifurahisha sana.
Duh mie nitawambia wa kwako akiwa kwako akitoka nje si wako??? Heheh ila kuibiwa inauma bwana acheni tuu halafu ukute mwizi mwenyewe mbaya zaidi yako!!
si huyo kakaako Chrispin badala ya kuchangia anauliza mie napatia wapi riziki teh
Carmel,there is no need to react,as it takes a fool to react!,hapa unachotakiwa kufanya ni kuongeza ubunifu wa mapenzi ili jamaa atulie na wewe,hamna haja ya ku react wala kwenda kwa waganga dawa unayo mwenyewe,kujiamini tuu!!!
wezi bana utawajua tu.
Live mkuu! hapa umeongea kweli...kabla sijasahau ngoja nigonge THANKS!HUYU MDADA, sijui Mkaka ni lazima atakuwa mwizi wa mali ya watu, sa anataka msaada wa JF ili ajua cha kufanya na msala wake...Otherwise you cant just figure out the situation,..why the hell?
Dear Nd. Bubu Ataka Kusema,
Wengine ni wageni hapa JF, basi hata hatuambizani jamani kama kunamajukwaa mengine pia na mkatuacha kwenye siasa tunapata pressure ya bure???