Utareact vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utareact vipi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by carmel, Oct 13, 2009.

 1. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kuna hii tabia ya wanawake wakigundua waume zao au BF zao wanacheat na hasa wakipata namba za mgombea mwenza kupitia simu za waume zao, wanaamua kuwacontact wale wezi wao, sas mimi huwa nashangaa je yule mwizi wako akiamua kukutukana na kukudhalilisha zaidi itakuwaje? Kwangu mimi nadhani ni vizuri u-deal na mumeo, lakini kwa napenda kupata maoni tofauti ya watu.
  1. Ukijua unaibiwa na ukipata contact za mwizi wako je utamcontact?
  2. Kama wewe ndo mwizi wa mume wa mtu na mwenye mali kakushtukia kakupigia au kutext utareact vipi?
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,122
  Likes Received: 24,238
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hiyo red. Ningefurahi kama wewe ungekuwa wa kwanza kujibu.
   
 3. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  siwezi kujibu kwa kuwa sijui, na ndo maana nikauliza. huwa na imagine in that state mtu atasema nini au atatukana, au atanyamaza au au au............
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,665
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  daaamn...shemasi unapiga za chembe apo:D
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  wezi bana utawajua tu.
   
 6. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Sasa kwa nini uibe na sisi tupo tupo tu hapa, ni PM basi..siunajua mambo ya vunja jungu la nyerere day naweza kukupeleka Nyama Chobisi naona First Lady yuko busy na night shift leo.
   
 7. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Kwa kweli mziki huu huwa ni mzito. Figa usilolikalia hujui joto lake, kuongea hapa ni rahisi lakini in reality ni ngumu. Inategemea mwathirika na stamina yake.

  Haina formula ila njia zote zinaweza saidia:
  1. Mpigie mwizi wako, cha msingi usimtukane au kuongea lugha chafu. Mpigie mwambie kwamba umeshamfahamu, na wala huna ugonvi naye. Mwambie avae kiatu chako, halafu atajisikiaje kutendwa hivyo!! mshukuru kwa kukusikiliza.

  Pia nakubaliana na kuwa ni bora u-deal na mmeo/mkeo ambaye ndiye anayewezesha mahusiono kinyume na taratibu.


  2. Ingawa sijawahi kuwa kwenye kundi la pili (mwizi), ila nikipigiwa/textiwa na mwenye mali nitakuwa mpole sana, nitamwomba msamaha na kuacha kamtindo hako.
   
 8. L

  Lizy JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 413
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Nitampaka kwa kwenda mbele, hata kama ni ukweli. (Siwezi sema matusi gani ntampaka hapa nitapewa ban si unajua tena JF na rule......tunga kichwani kwa niaba). As long as sikumuita mumewe kanifuata mwenyewe kwa sababu moja ama nyingine, ni juu yake kukaa na mumewe kuzungumza na kutafuta solution.

  Pia nitamkumbusha kwamba wanamme wapo wengi, ila wapenzi ni wachache hivo "Tutabanana hapa hapa" - Natania wewe lol.

  Btw, yamekukuta yepi mpaka kuja na maswali haya shosti?

  Binafsi sijakutwa na any kati ya uliyouliza. Hapo juu ni kutunga tu, si unajua ninaishi uswahilini so vitu kama hivo vipo. (Mambo ya uswahilini uswazi), Khanga utavaliwa na taarabu utaimbiwa!
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,928
  Likes Received: 83,495
  Trophy Points: 280
  Mhhhh! Lizy! I reserve my comments ;)
   
 10. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Dear Nd. Bubu Ataka Kusema,
  Wengine ni wageni hapa JF, basi hata hatuambizani jamani kama kunamajukwaa mengine pia na mkatuacha kwenye siasa tunapata pressure ya bure???
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Live mkuu! hapa umeongea kweli...kabla sijasahau ngoja nigonge THANKS!HUYU MDADA, sijui Mkaka ni lazima atakuwa mwizi wa mali ya watu, sa anataka msaada wa JF ili ajua cha kufanya na msala wake...Otherwise you cant just figure out the situation,..why the hell?
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...niliwahi kuwa na binti mwenye tabia hiyo, bahati mbaya roho yake ilikuwa nyepesi...

  ...siku moja alimpigia 'mtuhumiwa' mwenye akili zinazomtosha mwenyewe akajibiwa " ndiyo, nishamchukua sasa wewe unasemaje!"... nilishtukia mtu anaanguka tu povu linamtoka mdomoni...

  Ushauri wa bure, deal tu na mtu wako mwenyewe. Hata wanaume wengi huadhirika pale anapomkwida mwanaume mwenzake eti kwa kumtuhumu kutembea na mkewe, halafu anageuziwa yeye kibao na kupewa kibano cha kumtosha!
   
 13. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Hii ni biashara ya wewe na partner wako, sio biashara ya mtu wa tatu, kama katongozwa that means there's is something wrong in your relationship mpaka imefanya uyo partner wako aangalie nje! iweje umvamie mtu wa tatu? sio kosa lake, muulize uyo mwenzio kulikoni? why he's done it?
   
 14. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Duh mie nitawambia wa kwako akiwa kwako akitoka nje si wako??? Heheh ila kuibiwa inauma bwana acheni tuu halafu ukute mwizi mwenyewe mbaya zaidi yako!!
   
 15. Jerome

  Jerome Senior Member

  #15
  Oct 15, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tabu ya nini? kwanza nitapeleleza mpaka nimpate wa kwake naye nimfiligise hapo mtima wangu utatulia kwani dawa ya moto ni moto matusi hayasaidii dawa ni kuta mzigo na wewe fasta kwa kwenda mbele naye akindua hapo sasa mkae kikao
   
 16. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  hii thread inawahusu hasa madada kulingana na jinsi ulivyouliza
   
 17. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hii kali..ina maana hakuwa amejipima kama ana kifua cha kuvuta pumzi kukabiliana na hali aliyoianzisha?
  Mbu jamani... ungesababisha kifo ujue.

  Nakuunga mkono 100% deal na mtu wako..achana na kupambana na running-mate hutaweza kujua utakutana na nini huko.Kuna wengine wakiwa confronted wanalowa kama wamekutana na simba, ila wako wengine kama Lizy hapo juu, wao walishajitoa muhanga kupambana na hali yoyote.Hawa ni hatari maana utajikuta unakata roho kisa unamgombea mtu ambaye moyo wake hauko kwako tena.
  Halafu inategemea wewe mwenye mali uko vipi na mwenzio.Kama umemtelekeza kwenye penzi, na yeye akapata mtu wa kumliwaza..ukienda kupambana kwa makombora ujue ndo anaishia kimojaaaa!
  hIVYO UNASHAURIWA UJITATHMINI KWANZA NA KUJIELEWA UNATAKA NINI.Hii ni kama vita..panga mkakati usianze mashambulizi tu.JIULIZE YAFUATAYO:
  1.Je mtu wako ana mapenzi na wewe bado?
  2. Wewe unataka kurudisha mapenzi yake kwako (au kuwatibulia tu).
  Kama majibu ni NO.Ujue huna haja kupoteza nguvu zako na kujivunjia heshima mbele ya jamii kwenda kuangusha valangati.Kaa kimyaaa... onyesha kwa mwenzio unajua kila kitu ...utashangaa atamwacha mwenyewe.
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,122
  Likes Received: 24,238
  Trophy Points: 280
  Mkaka nachokupendea ni umakini wako. Tujue kwanza kama ni she au he ndo tujue cha kufanya.
   
 19. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  1) Kama nimeibiwa na nimepata contact za mwizi wangu wala sitojiangaisha na huyo mwizi. Nitadeal na huyu mtu wangu, nitamwambia ukweli kwamba nimeona sms mtu kakutumia nataka kujua ni nani kwako. Hapo nitakuwa nimeshambana na kupata uhakika then action za kuchuniwa kama si kuachwa zitafuata.

  2) Kama mwizi wa mume wa mtu hapo inategemea jinsi huyo bwana alivyoniambia status yake, kama aliniambia yupo single then leo hii napigiwa simu na kuambiwa mume wa mtu nitamuelewesha tu mkewe kwamba alinidang'anya kwamba yupo single ndio maana nikamkubali.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,122
  Likes Received: 24,238
  Trophy Points: 280
  Na kama hakukudanganya? Yani ulijua ni mme wa mtu ila tu ibilisi wa mahaba akakupitia?
   
Loading...