Utaratibu wa QT,msaada. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu wa QT,msaada.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Tiger, Nov 26, 2011.

 1. T

  Tiger JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Habari zenu wakuu.
  Plz I need your advice on how should I help this QT candidate.
  Mtahiniwa alikuwa amejisajiri kufanya qualification test(QT) kwa mara ya kwanza mwaka huu.
  Alifanya usajiri akapata namba na taratibu nyingine husika zilikamilika.
  Kwa sababu 1 au nyingine huyo mtu hakufanya mtihani kwakuwa inasemekana mwaka huu watahiniwa wa form II QT (wale wanaofanya kwa mara ya kwanza kama yeye) wali-seat na form IV wa kawaida(regular) badala ya ku-seat na form II wenzao(regular).
  Yeye hakujua na akachelewa mtihani.
  Swali ni je, huyu mtahiniwa anatakiwa afanye nini ili aweze kufanya mtihani mwakani au hana tena sifa ya kufanya mtihani?
  Thank u in advance.
   
 2. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Sifa anazo,anachotakiwa kufanya ni kujisajili UPYA mwakani JANUARI ili apate nafasi ya kufanya mtihani huo.
   
Loading...