Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Chuo gani hicho?Yapo malalamiko mengi ya jinsi usajili wa kulipua unavyofanyika pale wizarani.Kwamfano, kule tanga kuna chuo fulani cha ualimu kisicho na kiwango kimelalamikiwa sana na wananchi lakini mkubwa wa wizara kwakuwa ni kabila moja na mwenye chuo hakijafungwa na mambo yanaendelee, ndo elimu ya bongo hiyo!