Amanikwenu
Senior Member
- Dec 1, 2009
- 187
- 0
Hali ndio hiyo kwa Tanzania nzima tena hata kwenye Private Schools zenye majina. Nilidhani ni wakati mzuri sasa serikali ikaunda chombo kinachofanana na EWURA/SUMATRA/TCRA kwenye elimu pia. Vinginevyo iipe meno TEA ifanye kazi hiyo.
Kuna ndugu yangu mmoja kampeleka mwanae BAOBAB. Kwenye Invoice yao ya karo upo mchango wa laki moja ya jengo! Yaani mzazi achangie kumjengea mmiliki binafsi.
Nikamshauri akishachangia aombe shares ili naye awe na umiliki wa kiwango fulani. Karo ya BAOBAB mbali na mchango huo ni milioni mbili na nusu (2,500.000/=) kwa mwaka wa kwanza.
Tukitaka kuwafahamu ni rahisi tu. Yupo anayewapa usajili pale wizarani. Lililo wazi ni kwamba WANASIASA wetu wengi sana wamewekeza kwenye miradi hii ya shule. Ndio maana wanafanya wanavyotaka. Wengine kwenye uwekezaji huu wa mashule ni watumishi waandamizi serikalini. Kazi ipo. Hili hata kulipeleka BUNGENI ni kazi bure. Wabunge wengi wetu wanamililki au ni wawekezaji humo. Tufanyeje? Elimu bora inatolewa huko sasa hivi. Primary na Secondary za serikali zinahujumiwa kwelikweli. Walimu wazuri waliosoma kwa gharama zetu wanakimbilia huko.Mzee kwenye bold hapo umeongea point hata mimi niliwaza the same, ila swali ni moja tu unawajua wenye hizo shule???
WildCard,Hali ndio hiyo kwa Tanzania nzima tena hata kwenye Private Schools zenye majina. Nilidhani ni wakati mzuri sasa serikali ikaunda chombo kinachofanana na EWURA/SUMATRA/TCRA kwenye elimu pia. Vinginevyo iipe meno TEA ifanye kazi hiyo.---
.
Tukitaka kuwafahamu ni rahisi tu. Yupo anayewapa usajili pale wizarani. Lililo wazi ni kwamba WANASIASA wetu wengi sana wamewekeza kwenye miradi hii ya shule. Ndio maana wanafanya wanavyotaka. Wengine kwenye uwekezaji huu wa mashule ni watumishi waandamizi serikalini. Kazi ipo. Hili hata kulipeleka BUNGENI ni kazi bure. Wabunge wengi wetu wanamililki au ni wawekezaji humo. Tufanyeje? Elimu bora inatolewa huko sasa hivi. Primary na Secondary za serikali zinahujumiwa kwelikweli. Walimu wazuri waliosoma kwa gharama zetu wanakimbilia huko.
Wakuu,
Jana nilitembelewa na jirani yangu mmoja na akanieleza kuwa watoto wake wawili wamefaulu mtihani wa darasa la saba na wamechaguliwa kujiunga na shule ya sekondari ya Zinga iliyoko wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani. Hii ni moja ya shule zetu za kata.
Kitu kilichonistua na kunishangaza katika maelezo yake ni kuwa, pamoja na mambo mengine kama hela ya mlinzi; uji; kuni; ada; karatasi, kila Mwanafunzi anatakiwa AENDE NA KITI NA MEZA YAKE SIKU YA KUFUNGUA SHULE TAREHE 18/01/2010.
Je huu ni utaratibu wa nchi zima kwa shule zetu za kata au ni kwa shule hii ya ZINGA pekee?
Hali ndio hiyo kwa Tanzania nzima tena hata kwenye Private Schools zenye majina. Nilidhani ni wakati mzuri sasa serikali ikaunda chombo kinachofanana na EWURA/SUMATRA/TCRA kwenye elimu pia. Vinginevyo iipe meno TEA ifanye kazi hiyo.
Siyo serikali bali sema hii ndio hulka ya watanzania. Hizi shule binafsi walianza vizuri tena serikali ikawapa nafuu ya kodi lakini SUSTAINABILITY inawashinda.Hii ndio serikali ya tanzania bwana.Mambo yote mtelezo
Big "NO" Mwanangwa. Wanasema hata vidole hutofautiana urefu japo vyote ni vidole. Katika mazingira kama haya kuna umuhimu wa mabadiliko.in such kind of situation other peoples are building houses of 1.2 billion and their kids are in up countries. is there any equality.
Mzee kwenye bold hapo umeongea point hata mimi niliwaza the same, ila swali ni moja tu unawajua wenye hizo shule???