Utaratibu wa mirathi

Utaratibu wa mirathi

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,038
Reaction score
2,189
Kwa ambae ameshapitia hv utaratibu wa mirath kwa pesa ambayo marehem aliiacha bank mbona unakua ngum hv? Kila kitu kimekamilika tangu December lkn hela haitoki shida hua nini?

Je, kwa ambae ameshafatilia ulichukua muda gani na changamoto kubwa hua nn?

Asanten
 
Uko hatua gani?
File limeshafika mahakama ya wilaya ofisi ya uhasibu au ofisi ya uhasibu mkoa kwa ajili ya malipo?
Utaratibu huwa ni mrefu sana
eeee file lipo mahakama ya wilaya tangu march
 
eeee file lipo mahakama ya wilaya tangu march
Wao wanakujibu nini kuhusu kuchelewa kwenyewe? Labda kuna vitu havijakamilika lakini pia tangu tarehe 15/6 hadi mwezi huu mwanzoni kulikuwa hakuna malipo yoyote yanayofanyika sababu ya kuzimwa komputer (haya ni maelezo yao).

ila sasa hebu mkamate mhasibu wa wilaya kirafiki hapo halafu umuulize kuna tatizo gani.
ikishindikana sana Penye uzia penyeza rupia
 
Back
Top Bottom