Hivi ndivyo walivyokuwa wanazichukua hela pale Mkombozi,na kwa namna hiihii na sisi tunapaswa kwenda kuzichukua majumbani kwao,lazima watakuwa wame zichimbia chini hawa au zipo chini ya godoro
Hivi ndivyo walivyokuwa wanazichukua hela pale Mkombozi,na kwa namna hiihii na sisi tunapaswa kwenda kuzichukua majumbani kwao,lazima watakuwa wame zichimbia chini hawa au zipo chini ya godoro View attachment 205900
Hahahahahah... huwa wanachimbia chini ya ardhi hawa... dawa yake kupitisha greda eneo lote linalozunguka nyumba, ukikosa unaangusha nyumba na kufukua chini kote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.