Iwapo mtu amefia nyumbani kwake na mwili wake ukabidi kwenda kuhifadhiwa hospitalini, kwa nini haubebwi na ambulance?
Na iwapo utabebwa na kwa njia nyingine yoyote, kwa nini mwili hawaufuniki?
Na wanapofika hospitalini, kwa nini sio wahudumu wa hospitali wanaowajibika kuutoa mwili huo badala ya walioupeleka hapo?
Nini nafasi ya polisi katika uchunguzi wa kesi kama hii? Baada ya kila hatua ya awali kuchukuliwa na ndugu na majirani?
Refer kifo cha S. Kanumba.
Mkuu kuna magonjwa mengine hata ukifanya CPR (Cardiopulmonary Resuscitation) haisaidiii. Bila kujali marehemu alikuwa anaumwa nini, nadhani kuna makampuni binafsi hapa bongo kama Ultimate Security ambayo huwa na paramedics, kwa hiyo ukishapata tatizo la style hii wakija kwako kitu cha kwanza wanachofanya ni CPR. Sio CPR wafanya zaidi ya nusu saa baada ya kufa (unapofikishwa hospitalini). Na kwa kesi ya Muamba, kila daktari anaamini ile ni miraculous healing na si ubora wa vifaa au utoaji huduma.ukikumbuka tukio la Fabrice Muamba
napata wasiwasi tunazika wengi wakiwa hai still...
hii nchi utasema tuko miaka ya sitini bado
ajabu mno.....
Ilitakiwa iwe hivyo lkn basi tu.Mkuu heshima mbele.
Umeleta swali ambalo mimi mwenyewe nimekuwa nikifikiria kila siku kwamba kwanini sisi watu tunafanya mambo kienyeji mno.
Utaratibu ambao ungefanyika ambao duniani kote wanafanya ni kwamba.
1. Ndugu wa marehemu alipogundua kwamba marehemu amefariki alipaswa kupiga simu polisi na kutoa taarifa ya kifo na polisi wangefika eneo la tukio mara moja.
2. Polisi kama wangefika nyumbani kwa marehemu wangezungusha uzio eneo lote linalozunguka nyumba ya marehemu na lingejulikana kwamba ni "murder scene" na mtu yoyote haruhusiwi kuingia kwenye eneo hilo.
3. Polisi wangeita watu wa ambulance ambao wangefika mahala hapo na baada ya kuridhika kwamba marehemu amekwishafariki wangeutia mwili wa marehemu kwenye fuko la kubebea maiti na kuupeleka chumba cha maiti Muhimbili ambako ungehifadhiwa na pathologist angesubiriwa kufanya uchunguzi zaidi au "post moterm".
4. Polisi wangeweka doria kwenye eneo hilo na mtu yoyote kutoruhusiwa kuingia humo.
5. Polisi wangemkamata ndugu wa marehemu na huyo msichana ili kuchukua maelezo na baada ya hapo polisi wangetoa taarifa kwamba kuna mtu amefariki (merehemu Kanumba) nyumbani kwake katika mazingira yasoeleweka na watu wawili wanashikiliwa na maelezo mengine yatatolewa baadae.
Sasa labda jumanne au katikati ya wiki ijayo polisi wangetarajiwa kutoa taarifa kwamba kutokana na ushahidi ambao wameukusanya wanamfungulia mashtaka yoyote ambae walikuwa wakimfanyia mahojiano na ambe wamemtia ndani.
Kwa sasa kila sehemu ya eneo hilo limetapakaa vidole na ushahidi wote umekwishavurugwa au "contaminated" ingawa wananchi wamejitahidi kadri ya uwezo wao kufanya kazi zote za polisi jambo ambalo si jukumu lao.
Huu ndio utaratibu ambao unatoa haki kwa kila mtu yule alekufa na wale wanaobakia hapa duniani.
Mkuu heshima mbele.

kwani wewe umeongea nini?research ya kitu gani?

Nimeshangaa ndugu kupeleka mwili mortuary, Polisi ndio walipaswa kama alikuwa amefia nyumbani. Kisheria hawawezi kuuzika bila ruksa ya polisi. Eneo lilipaswa kuwa chini ya uangalizi wa polisi wakati wakichukua picha na ushahidi. Ila kama alipelekwa bado mzima ni sawa huduma za ambulance wakati mwingine huchelewa mara nyingi kesi kama hizi mgonjwa anatakiwa awe stabilized kabla ya kumchukua kama wanavyofanya kwa wachezaji. Still long way to go ila tutafika
Mkuu heshima mbele.
Umeleta swali ambalo mimi mwenyewe nimekuwa nikifikiria kila siku kwamba kwanini sisi watu tunafanya mambo kienyeji mno.
Utaratibu ambao ungefanyika ambao duniani kote wanafanya ni kwamba.
1. Ndugu wa marehemu alipogundua kwamba marehemu amefariki alipaswa kupiga simu polisi na kutoa taarifa ya kifo na polisi wangefika eneo la tukio mara moja.
2. Polisi kama wangefika nyumbani kwa marehemu wangezungusha uzio eneo lote linalozunguka nyumba ya marehemu na lingejulikana kwamba ni "murder scene" na mtu yoyote haruhusiwi kuingia kwenye eneo hilo.
3. Polisi wangeita watu wa ambulance ambao wangefika mahala hapo na baada ya kuridhika kwamba marehemu amekwishafariki wangeutia mwili wa marehemu kwenye fuko la kubebea maiti na kuupeleka chumba cha maiti Muhimbili ambako ungehifadhiwa na pathologist angesubiriwa kufanya uchunguzi zaidi au "post moterm".
4. Polisi wangeweka doria kwenye eneo hilo na mtu yoyote kutoruhusiwa kuingia humo.
5. Polisi wangemkamata ndugu wa marehemu na huyo msichana ili kuchukua maelezo na baada ya hapo polisi wangetoa taarifa kwamba kuna mtu amefariki (merehemu Kanumba) nyumbani kwake katika mazingira yasoeleweka na watu wawili wanashikiliwa na maelezo mengine yatatolewa baadae.
Sasa labda jumanne au katikati ya wiki ijayo polisi wangetarajiwa kutoa taarifa kwamba kutokana na ushahidi ambao wameukusanya wanamfungulia mashtaka yoyote ambae walikuwa wakimfanyia mahojiano na ambe wamemtia ndani.
Kwa sasa kila sehemu ya eneo hilo limetapakaa vidole na ushahidi wote umekwishavurugwa au "contaminated" ingawa wananchi wamejitahidi kadri ya uwezo wao kufanya kazi zote za polisi jambo ambalo si jukumu lao.
Huu ndio utaratibu ambao unatoa haki kwa kila mtu yule alekufa na wale wanaobakia hapa duniani.
kwani tz kuna polisi?mkuu heshima mbele.
Umeleta swali ambalo mimi mwenyewe nimekuwa nikifikiria kila siku kwamba kwanini sisi watu tunafanya mambo kienyeji mno.
Utaratibu ambao ungefanyika ambao duniani kote wanafanya ni kwamba.
1. Ndugu wa marehemu alipogundua kwamba marehemu amefariki alipaswa kupiga simu polisi na kutoa taarifa ya kifo na polisi wangefika eneo la tukio mara moja.
2. Polisi kama wangefika nyumbani kwa marehemu wangezungusha uzio eneo lote linalozunguka nyumba ya marehemu na lingejulikana kwamba ni "murder scene" na mtu yoyote haruhusiwi kuingia kwenye eneo hilo.
3. Polisi wangeita watu wa ambulance ambao wangefika mahala hapo na baada ya kuridhika kwamba marehemu amekwishafariki wangeutia mwili wa marehemu kwenye fuko la kubebea maiti na kuupeleka chumba cha maiti muhimbili ambako ungehifadhiwa na pathologist angesubiriwa kufanya uchunguzi zaidi au "post moterm".
4. Polisi wangeweka doria kwenye eneo hilo na mtu yoyote kutoruhusiwa kuingia humo.
5. Polisi wangemkamata ndugu wa marehemu na huyo msichana ili kuchukua maelezo na baada ya hapo polisi wangetoa taarifa kwamba kuna mtu amefariki (merehemu kanumba) nyumbani kwake katika mazingira yasoeleweka na watu wawili wanashikiliwa na maelezo mengine yatatolewa baadae.