Utaratibu Wa Ku -Transfer Upoje

Utaratibu Wa Ku -Transfer Upoje

Rangoo

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
99
Reaction score
114
Jamani kuna Mtu anataka kufanya Transfer kutoka Chuo Alichochaguliwa Kwenda Muhimbili.. Utaratibu upoje WanaJF
 
Mwambie Asubirie Muda Wa Transfer Ufunguliwe Coz Mwaka Huu Transfer Ztafanyka Online Kupitia Accnt Ya Kla Moja Na Atapaswa Kulipia Elfu30
Atafanya online sawa bt inabidi atafute mtu tcu pia kwa uhakika zaid,hii ni Tanzania co kila mtu mwenye haki anaipata
 
Jamani kuna Mtu anataka kufanya Transfer kutoka Chuo Alichochaguliwa Kwenda Muhimbili.. Utaratibu upoje WanaJF

Mwambie ajiandae na adha ya kuhamisha taarifa zake za mikopo na fedha za kujikimu...process ambayo inaweza kuchukua mwaka mzima.
 
Back
Top Bottom