witacha matiku
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 680
- 128
Nadhani ingekua vizuri kama mwasilisha mada angetoa na source of info ili tuwe na uhakika wa taarifaKWA WALE AMBAO HAWAKUSOMA UDSM awe na first class kutoka katika vyuo HIVYO. isipokuwa kwa wale waliosoma UDSM; wanaume wawe na GPA ISIYOPUNGUA 3.5 na wanawake wawe na GPA ya 3.3
Wana JF hii inapeleka ujumbe gani kwa vyuo vingine?
Wao wenyewe! Ukienda COET hiyo gpa ya 3.4 utawapata wachache mno!labda kama huko hawahusiki!Nadhani huu ujumbe umepelekwa SUA maana kule hakuna First Class.
HATER!!!!!mmmh!hata bureee!!!ahahahahahaaaTutasoma vyuo vingine kwanza Ud mimi sipapendi hata wanisomeshe bure sikubali.
Mmh napitia pitia website ya udsm niapply masters haya maneno yako sasa mwehMimi ni zao la UDSM ile ya migomo haswa.... GPA za chupi na kudisko kwa visa kwa baadhi ya watu; hii haishangazi
Ushauri tu, si lazima kusoma UDSM... na experience yangu ndogo ya kufanya kazi na watu wenye masters za UDSM, wengi wako kinadharia zaidi wakati maisha ya makazini yanataka applied knowledge
I would never take any person close to me to any postgraduate course ya UDSM kwa sasa hasa kama ni za management... tunakosa upeo fulani
tutakutana pale mdigrii, wala wasikutishe!Mmh napitia pitia website ya udsm niapply masters haya maneno yako sasa mweh
Nisamehe bure, naweza kuwa nimekosea, ila nazungumzia ninayoyaona na kuhisi.... Miaka hii watu wako zaidi kwenye "applied education" na hilo bado sana hapo kwa kilimaMmh napitia pitia website ya udsm niapply masters haya maneno yako sasa mweh
Nop haujakosea, nlikua naulizia tu kujua detail zaidi wala usijaliNisamehe bure, naweza kuwa nimekosea, ila nazungumzia ninayoyaona na kuhisi.... Miaka hii watu wako zaidi kwenye "applied education" na hilo bado sana hapo kwa kilima
Kama unahitaji MEMA karibu ila angalia Ada usije kukikosa chuo. Ila shule jamaa wanakata nyanga aibuKaka asante kwa kutujuza halihalisi ya UDSM kwa level ya Master degree maana nilikuwa na mpango wa kufanya Master degree ya Education Management and Administration.
hahaha dah et UD sipapendi...nmecheka sana...kweli mkosaji hakoai kaulimaneno ya wakosaji utayajua tu..
Haha, JF sometimes raha hasa watu wenye akili zao wakiamua kutoa maoni yao!Hilo wazo itakuwa limetoka kwa mkuu wa chuo JK
Hicho chuo kinandaa walimu tu?KWA WALE AMBAO HAWAKUSOMA UDSM awe na first class kutoka katika vyuo HIVYO. isipokuwa kwa wale waliosoma UDSM; wanaume wawe na GPA ISIYOPUNGUA 3.5 na wanawake wawe na GPA ya 3.3
Wana JF hii inapeleka ujumbe gani kwa vyuo vingine?
UDSM ndo chuo peee cha kuaminika hapa Tanzania. Na hivi wameanzisha MEDICINE na koz za Agriculture SUA na Muhimbili mjipange vizuri.