Mmang'ati
Senior Member
- Jan 8, 2011
- 184
- 49
Wadau nna imani kuwa ntapata msaada juu ya utaratibu wa kupiga/kupigiwa saluti. Nikianzia na obama huwa namuona akijibu anapokuta askari wanampa saluti bt jk cjawahi ona. Then leo msibani kova ameshusha saluti je ni sheria?hata marehemu akiwa raia? Imenichanganya zaidi aliposhusha saluti kamanda Sugu ni sahihi au kwa vile alikuwa na gwanda lile la chama. Mnijuze tafadhali ndugu zangu ikiwezekana na mi niwe nikiangusha panapostahili maana police na wajeda wabongo wanaweza kukuintelijensia kabla hata mkono haujafika begani.