Godfaith Ngoye
Member
- Jul 15, 2017
- 13
- 5
Habari wana jamii forum naomba kuuliza hivi ni vigezo gani vinatumika kufanya kozi hii G.P.A iwe 3.0 na nyingne iwe 3.5, ni chuo au kozi, maana kuna kozi naziona ktk chuo A ina G.P.A 3.5 , Ukienda chuo kingne unaiona ina 3.0 naomba msaada hii ikoje,mfano kuna kozi inaitwa Bsc science general Udsm ina G.P.A 3.5 , Ukienda OPEN UNIVERSITY kozi hiyo hiyo but G.P.A ni 3.0 why? msaada pls