Baada ya kutolewa majina kwa ajili ya usaili leo ya ma kostebo na ma koplo na majina yao kuwekwa na namba za simu matapeli wameanza kupiga simu na kuomba uwepe chochote akusaidie ufaulu usahili huo.
Mi nimepigiwa simu tano tofauti zikiniomba nitume pesa napate kushinda usaili. Kuweni makini vijana wote mliobahatika kuitwa kwenye usaili kwani idara haina utaratibu wa kupiga simu kabisa.
Wazee wa fursa noma.
Haliwi Mtu Hapa
hatimaye emanuel thomas aitwa tena jamaa ni noma achague kunyoa ama kusuka
Cc. Tmajuto
Hapo ndo utajua kwa nini mtu mmoja aweza chukua mishahara miwili au mitatu katika wizara moja na wasimtambue. Ni kweli bado tuna vilaza wengi tanzania hasa ktk ofisi za serikali. HAIINGII AKILINI KABISA.
CCM HOYEEEEE....