Utapeli wa mwaka....


Hahahahaha teh teh teh eeee samahani BabaDesi wewe ulipigwa changa lile la deci au mfanano jina tuu lol. .
 
Last edited by a moderator:
nawapa pole watapeliwa hao.
ila kuwepo na utaratibu wa kuahikiki anuani za watoaji mtangazo gazetini (hasa ya bei chee).
 
nawapa pole watapeliwa hao.
ila kuwepo na utaratibu wa kuahikiki anuani za watoaji mtangazo gazetini (hasa ya bei chee).
 
pole yake.. sasa atakuwa amebadilisha mtaa kwa sababu anadaiwa laki saba na nusu za watu
 
tafuta kazi kimyakimya,ukipata anza kazi kimyakimya hakuna haja ya kuutangazia umma kwa sherehe na ukiacha ama ukiachishwa inakua kimyakimya
 
Kama hilo tangazo la kazi amelikuta kwenye gazeti la udaku na yeye akalifanyia kazi na mwisho kutapeliwa, huo ni ubwege wake mtu makini huwezi kuzifuatilia habari zinazoandikwa kwenye hayo magazeti ya kipuuzi.
 
Hahahahaha teh teh teh eeee samahani BabaDesi wewe ulipigwa changa lile la deci au mfanano jina tuu lol. .


..teh teh! Deci ile nilichomoka mkuu! Huwa ni muoga sana wa mpango wowote wa Kupata Pesa ya fasta fasta ambao unahitaji mimi kutoa pesa fasta fasta kwanza!

DESI ni jina la junior ambaye ana umri mara Tatu ama Nne zaidi ya umri wa DECI yetu ilee!!🙂
 
Last edited by a moderator:
Pole Pole sana " kwa mungu hiyo ni ndogo tu, laki saba unusu hazijapotea " avumilie na asubiri Huyu ni VICTIM asubiri kidogo tu mambo yatamwendea vizuri na mungu atamlipa more thn that !! kweli Tz. tumefika kwenye hali mbaya sana.
God forebide balaa lijalo.
 
Mbona huu ni utapeli wa wazi kabisa. Hivi watu huwa wanafikiri vipi??!!!
 
Hapo wengi tungeingia chaka, imagine boom limekata na ulishakua na huge expectation...

Kazi ya 3.8m...tusidanganyane mtu unaeza hata kukopa bwana


...Sio kila Mtu na Kukopa wala Sio tatizo, Mkuu Jerry Msigwa. Tatizo ni Unakopa kwa ajili gani.
Dhahiri kukopa kwa ajili ya kununua TAPE RECORDER ya Shs Laki Saba Unusu! (Nasisimka hata kwa kuziandika tu hapa!) siyo kabisa!!
Katika mambo mengi tunatakiwa kutanguliza Common Sense ambayo tumepewa Bure na Mungu wetu Mwema.
Tatizo wengi tunaendekeza na kutanguliza mbele Tamaa na Njaa Zetu na kuweka nyuma common sense zetu.

Haishangaza basi kuwa Matapeli wa aina hii na wale wenzao wa Nigeria wataendelea kuwafanya wabongo walio wengi Shamba la Bibi!

Tafakari na Kushituka.
🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…