Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
hiyo ni kweli kabisa ni kama fashion vile
ni hatareeee ngoja nikacheke kwenye thread yako ya baba mkwe
hiyo ni kweli kabisa ni kama fashion vile
plan b, c,d,e, na f ni muhimu katika maisha haya
kuna mmoja ye akiwa anatuma meseji anatuma "good morning my sunshine"
anaenda option ya send to many hizo zinawaendea kama 8 hivi
Tatizo mnalazimisha utamaduni.
Waafrica kuwa na wapenzi wengi ni jadi yetu na ndiyo maana Babu zetu walioa wake wengi..sasa nyie mnatuletea uzungu wa mke mmoja nani ataweza huo utumwa?
Acheni watu wajipendelee..huwezi kula nyama kila mlo..lazima kuchanganya mlo ili kupata balance ya diet.
[/B][/COLOR]Mnashangaza,wanawake ndio wasinyae kwa kuwa underfeeded?
Mababu hao wa zamani walikuwa wanamudu kutoa dose ya kutosha,sasa nyie wajukuu mnataka kuiga wakati hata huyo mke mmoja hali akashiba huyo wa ziada utampa nini?