Nenda na kamba yako yenye vipimo sahihiNdugu ukiataka kujua mbao unaibiwaje wewe nenda kanunue mbao pale kwa urefu unaoujua alafu fika nyumbani uzipime tena kama zitakuwa na urefu ule ule.
Kuna mchezo wa kuchezea zile futi kamba wanazotumia kupimia, labda uende na futi kamba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinunue mbao kwa Wakinga ni wachawi sana. Huwezi kuamini lakini ndiyo hivyoNjia nyingine ambayo sijawahi kuielewa mpaka leo ni matumizi ya calculator zao. Kuna siku nimeenda kununua mbao pale buguruni. Kwa kuwa nilikuwa najua mchezo wa futikamba niliwataka wapimie yangu na wakafanya hivyo. Issue ikawa wakati wa kujumlisha mahesabu kwa calculator. Nilishika ile calculator jamaa akawa ananisomea huku nimemweka na jamaa yangu ajiridhishe kama anasoma kilichoandikwa. Tukamaliza na nikalipa na kuondoka.
Baada ya wiki tatu nikarudi tena kununua mbao zingine kwenye duka lilelile. Tukafanya taratibu zote kama awali. This time nilikwenda na jamaa zangu watatu. Moja akawa anaangalia kama kinachosomwa ni kweli, mimi nikawa najumlisha na calculator yao. Jamaa yangu wa tatu kumbe naye akawa anajumlisha kwenye simu yake. Cha ajabu hesabu za kwenye calculator na simu zikawa tofauti. Calculator ikaleta namba kubwa kuliko simu. Ikabidi turudie kwa simu nyingine. Bado hesabu za simu zikaoana. Cha ajabu jamaa akakubali tulipie kutumia hesabu za simu. Nikajua ile calculator imechezewa na mara ya kwanza nilipigwa. Ninachojiuliza mpaka leo ni kuwa calculator inachezewaje?
Ukienda na futi yako hawauuziiNdugu ukiataka kujua mbao unaibiwaje wewe nenda kanunue mbao pale kwa urefu unaoujua alafu fika nyumbani uzipime tena kama zitakuwa na urefu ule ule.
Kuna mchezo wa kuchezea zile futi kamba wanazotumia kupimia, labda uende na futi kamba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha. Mkuu unataka kusema jamaa wanaroga mpaka calculator zao?Usinunue mbao kwa Wakinga ni wachawi sana. Huwezi kuamini lakini ndiyo hivyo
Kupenda njia za mkato kunaweza kusababisha kutapeliwa. Wabongo wengi tunapenda kuruka taratibu.Kutoka hapo Buguruni mpaka kiwwanda cha ALAF Ni kama kilomita zisizozidi 3 tu, inakuwaje mtu unatapeliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani kwa elimu umetutoa tongotongoMbao zilizopo Buguruni note hazilingani urefu kwa 100%.Zinatofautiana cm 1 hadi 3 na nyingine ni tofauti ya nusu cm.Sasa futi wanayopimia huwa imekatwa katikati na imeungwa kwa ustadi wa hali ya juu,sio rahisi kupaona,hiyo ni moja watu wanapopigwa.
Pili pale mbao inapopima wanaandika kwenye daftari/diary kila urefu wa mbao,sasa hapo wako fasta sana na anaweza kuzidisha cm 1 au point kadhaa tu kwenye baadhi ya mbao na usishtuke.Hapo tayari umepigwa.
Njia ya tatu ni pale wanapojumlisha urefu wa jumla wa mbao unazochukua,napo wanajumlisha fasta fasta napo unaweza ongezewa point au cm kadhaa kwenye baadhi ya mbao.
Sasa kama umenunua mbao mfano 200 za kenchi au blundering unakuwa umewaachia hela ndefu bila kujua.
Na wanakuwa wengi wale vibarua hivyo kelele zinakuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hivi,futi zao zinaanzia cm 3 na Kati wameunga mfano ikitokea cm 13 inakuja 19 hujaibiwa bado?Mbao unaibiwaje wakati mbao urefu wake unajulikana? Kuanzia huko zitokapo mbao huwezi ipunguza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia nyingine ambayo sijawahi kuielewa mpaka leo ni matumizi ya calculator zao. Kuna siku nimeenda kununua mbao pale buguruni. Kwa kuwa nilikuwa najua mchezo wa futikamba niliwataka wapimie yangu na wakafanya hivyo. Issue ikawa wakati wa kujumlisha mahesabu kwa calculator. Nilishika ile calculator jamaa akawa ananisomea huku nimemweka na jamaa yangu ajiridhishe kama anasoma kilichoandikwa. Tukamaliza na nikalipa na kuondoka.
Baada ya wiki tatu nikarudi tena kununua mbao zingine kwenye duka lilelile. Tukafanya taratibu zote kama awali. This time nilikwenda na jamaa zangu watatu. Moja akawa anaangalia kama kinachosomwa ni kweli, mimi nikawa najumlisha na calculator yao. Jamaa yangu wa tatu kumbe naye akawa anajumlisha kwenye simu yake. Cha ajabu hesabu za kwenye calculator na simu zikawa tofauti. Calculator ikaleta namba kubwa kuliko simu. Ikabidi turudie kwa simu nyingine. Bado hesabu za simu zikaoana. Cha ajabu jamaa akakubali tulipie kutumia hesabu za simu. Nikajua ile calculator imechezewa na mara ya kwanza nilipigwa. Ninachojiuliza mpaka leo ni kuwa calculator inachezewaje?
Tuliwahi strict mnatuita wagoloka a.k.a mporipori mm huwa simuamini mtu.Ndugu ukiataka kujua mbao unaibiwaje wewe nenda kanunue mbao pale kwa urefu unaoujua alafu fika nyumbani uzipime tena kama zitakuwa na urefu ule ule.
Kuna mchezo wa kuchezea zile futi kamba wanazotumia kupimia, labda uende na futi kamba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee sasa hivyo vipisi vya mbao wanavyokata wanavifanyia nini!? Au mimi sijaelewa wizi /utapeli wenyewe unavyofanyika!!? Dadavua Mkuu.Mbao zilizowekwa dawa zinauzwa kwa futi hivyo wanachofanya wanakata ile futi kamba katikati alafu wanaunga na gundi hivyo badala ya futi 12 unakuta ni futi 8 hivyo kama umenunua mbao 100 tayari umepigwa ft 400 na kama futi moja ni elf moja tayari umeliwa laki nne.
Kama mjanja ukakagua ile futi kamba yao basi watakuletea nyingine ambayo ipo sahihi lakini watakupiga kwenye kuandika vipimo
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka lini wauzaji wa bati ALAF wameanza kuuza mbao mkuu? Tutoe tongotogo.Kutoka hapo Buguruni mpaka kiwwanda cha ALAF Ni kama kilomita zisizozidi 3 tu, inakuwaje mtu unatapeliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeusoma uzi wote? Una uhakika kuwa mleta uzi hakuzungumzia kuhusu ALAF?Toka lini wauzaji wa bati ALAF wameanza kuuza mbao mkuu? Tutoe tongotogo.