Njoooni ALAF maitishwe kwamba bei ni kubwa waongo bei niza kawaida kabisa halafu unapata bati nzuri zisizokuwa na mashaka yoyoteHabarini za leo wadau,
Eneo la Buguruni Chama ni eneo ambalo lililozoeleka na umaarufu sana kwa biashara ya mbao pamoja na utapeli kwa wateja wanaofanyiwa katika kununua mbao kwa kutumia ule mchezo wa kupunguza zile futi kamba wakati wa upimaji wa mbao (waliowahi fanyiwa huu mchezo wanajua).
Zaidi ya hapo, kwa sasa kuna makampuni yanayojifanya ni mawakala wa kampuni ya ALAF Tanzania kumbe ni matapeli tu wanaoishia kuchukua hela za watu kwamba watawapatia mabati toka ALAF na mwishowe kuishia kuwazungusha wananchi hao.
Mimi mwenyewe imenitokea kusumbuliwa na hao matapeli wanaojiita dealers wa ALAF kumbe sio na kibaya zaidi nilielekezwa kwa huyo anayejiita wakala wa ALAF na mtu ambaye tunaheshimiana SANA. Kumbe uwakala wake umeishasimamishwa na amebaki mjini kusumbua na kutapeli watu. Hivi ninavyo andika ujumbe huu tapeli huyo yupo ndani katika Kituo cha Polisi Buguruni na maneno anayoongea muda huu hayaeleweki kabisa kuhusiana na mzigo wangu.
#mytake
1.Nawashauri endapo unahitaji bati kutoka ALAF ni bora kwenda kiwandani moja kwa moja maana haizuiliwi kabisa unakwenda unatoa order yako na kupatiwa bidhaa yako ndani ya muda mfupi sana kuliko kuendelea kusumbuka na hawa matapeli.
Hili nimeligundua baada ya kwenda kulalamika na kuwaeleza kuhusiana na maneno aliyokuwa ananiambia huyo aliyekuwa anajiita wakala kumbe sio.
Tuchukue tahadhari katika hili.
2. Kampuni ya ALAF ifanye chapisho kuwabainisha mawakala wao wote na kuwabainisha wote ambao ni matapeli wanaotumia jina lao kwani wanawajua na hizo kesi zinakwenda kwao kila leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao unaibiwaje wakati mbao urefu wake unajulikana? Kuanzia huko zitokapo mbao huwezi ipunguza sana

Njoooni ALAF maitishwe kwamba bei ni kubwa waongo bei niza kawaida kabisa halafu unapata bati nzuri zisizokuwa na mashaka yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, hawa mawakala siyo wa kuwaamini maana mwisho wa siku lazima akufaidi wewe, hakuna msaada wa bure! alafu mbona huo wizi wa kizamani sana bado wanauendeleza..Habarini za leo wadau,
Eneo la Buguruni Chama ni eneo ambalo lililozoeleka na umaarufu sana kwa biashara ya mbao pamoja na utapeli kwa wateja wanaofanyiwa katika kununua mbao kwa kutumia ule mchezo wa kupunguza zile futi kamba wakati wa upimaji wa mbao (waliowahi fanyiwa huu mchezo wanajua).
Zaidi ya hapo, kwa sasa kuna makampuni yanayojifanya ni mawakala wa kampuni ya ALAF Tanzania kumbe ni matapeli tu wanaoishia kuchukua hela za watu kwamba watawapatia mabati toka ALAF na mwishowe kuishia kuwazungusha wananchi hao.
Mimi mwenyewe imenitokea kusumbuliwa na hao matapeli wanaojiita dealers wa ALAF kumbe sio na kibaya zaidi nilielekezwa kwa huyo anayejiita wakala wa ALAF na mtu ambaye tunaheshimiana SANA. Kumbe uwakala wake umeishasimamishwa na amebaki mjini kusumbua na kutapeli watu. Hivi ninavyo andika ujumbe huu tapeli huyo yupo ndani katika Kituo cha Polisi Buguruni na maneno anayoongea muda huu hayaeleweki kabisa kuhusiana na mzigo wangu.
#mytake
1.Nawashauri endapo unahitaji bati kutoka ALAF ni bora kwenda kiwandani moja kwa moja maana haizuiliwi kabisa unakwenda unatoa order yako na kupatiwa bidhaa yako ndani ya muda mfupi sana kuliko kuendelea kusumbuka na hawa matapeli.
Hili nimeligundua baada ya kwenda kulalamika na kuwaeleza kuhusiana na maneno aliyokuwa ananiambia huyo aliyekuwa anajiita wakala kumbe sio.
Tuchukue tahadhari katika hili.
2. Kampuni ya ALAF ifanye chapisho kuwabainisha mawakala wao wote na kuwabainisha wote ambao ni matapeli wanaotumia jina lao kwani wanawajua na hizo kesi zinakwenda kwao kila leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachofanya mfano mbao ni futi 10 , wao wanakata futi yao katikati wanaondoa kipande kama futi 2 au 2.5 alafu wanaiunganisha tena ile futi, kwa hiyo mwisho wa siku wakikupimia kweli futi itasoma futi kumi lakini uhalisia mbao yako ni futi 8 au 7.5 .Mbao unaibiwaje wakati mbao urefu wake unajulikana? Kuanzia huko zitokapo mbao huwezi ipunguza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao zinauzwa kwa ft. Sasa mijamaa unakuta inafuti za kamba zilizopunguzwa huko kwenye shina letsay cm30!Mbao unaibiwaje wakati mbao urefu wake unajulikana? Kuanzia huko zitokapo mbao huwezi ipunguza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao unaibiwaje wakati mbao urefu wake unajulikana? Kuanzia huko zitokapo mbao huwezi ipunguza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao unaibiwaje wakati mbao urefu wake unajulikana? Kuanzia huko zitokapo mbao huwezi ipunguza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ALAF wenyewe ni sehemu ya kulaumiwa kwa sababu nao wanawalea sana hao madalali pengine kutokana na maslahi fulani wanayopata baadhi ya management staff wa pale. Ukifika pale kiwandani ALAF utashangaa kuwaona madalali wamejazana getini na pia pale ndani mapokezi ili kuwarubuni wateja wageni wanunue mabati kupitia kwao kwa kisingizio kuwa wao wanaponunua wanapata discount. Serikali inapaswa kukomesha utapeli huu kwa kuzingatia kwamba nayo ina hisa kubwa katika kampuni hiyo.
Njia nyingine ambayo sijawahi kuielewa mpaka leo ni matumizi ya calculator zao. Kuna siku nimeenda kununua mbao pale buguruni. Kwa kuwa nilikuwa najua mchezo wa futikamba niliwataka wapimie yangu na wakafanya hivyo. Issue ikawa wakati wa kujumlisha mahesabu kwa calculator. Nilishika ile calculator jamaa akawa ananisomea huku nimemweka na jamaa yangu ajiridhishe kama anasoma kilichoandikwa. Tukamaliza na nikalipa na kuondoka.Wanafanya wizi kwa njia kama 4. 1)wametengeneza futi kamba zao ambazo ni fupi kuliko kawaida na ndo wanatumia. Ukipima ubao unapata 14ft kumbe ni 12ft. 2)wanapima ubao mmoja mmoja na wakati wa kujumlisha wanafanya figisu figisu, ukiwamini inakula kwako. 3) wakati wa kuhesabu zile mbao zenyewe wanakupiga pia. 4)wakati wa kipakia wanakupiga ukizubaha. Yaani pale ni majanga tupu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbao zilizopo Buguruni note hazilingani urefu kwa 100%.Zinatofautiana cm 1 hadi 3 na nyingine ni tofauti ya nusu cm.Sasa futi wanayopimia huwa imekatwa katikati na imeungwa kwa ustadi wa hali ya juu,sio rahisi kupaona,hiyo ni moja watu wanapopigwa.Mbao unaibiwaje wakati mbao urefu wake unajulikana? Kuanzia huko zitokapo mbao huwezi ipunguza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo dar kuna ALAF roof Galleries nyingi tu. Zote zinamilikiwa na kiwanda. Mfano: Mwenge pale JOSAM house.Habarini za leo wadau,
Eneo la Buguruni Chama ni eneo ambalo lililozoeleka na umaarufu sana kwa biashara ya mbao pamoja na utapeli kwa wateja wanaofanyiwa katika kununua mbao kwa kutumia ule mchezo wa kupunguza zile futi kamba wakati wa upimaji wa mbao (waliowahi fanyiwa huu mchezo wanajua).
Zaidi ya hapo, kwa sasa kuna makampuni yanayojifanya ni mawakala wa kampuni ya ALAF Tanzania kumbe ni matapeli tu wanaoishia kuchukua hela za watu kwamba watawapatia mabati toka ALAF na mwishowe kuishia kuwazungusha wananchi hao.
Mimi mwenyewe imenitokea kusumbuliwa na hao matapeli wanaojiita dealers wa ALAF kumbe sio na kibaya zaidi nilielekezwa kwa huyo anayejiita wakala wa ALAF na mtu ambaye tunaheshimiana SANA. Kumbe uwakala wake umeishasimamishwa na amebaki mjini kusumbua na kutapeli watu. Hivi ninavyo andika ujumbe huu tapeli huyo yupo ndani katika Kituo cha Polisi Buguruni na maneno anayoongea muda huu hayaeleweki kabisa kuhusiana na mzigo wangu.
#mytake
1.Nawashauri endapo unahitaji bati kutoka ALAF ni bora kwenda kiwandani moja kwa moja maana haizuiliwi kabisa unakwenda unatoa order yako na kupatiwa bidhaa yako ndani ya muda mfupi sana kuliko kuendelea kusumbuka na hawa matapeli.
Hili nimeligundua baada ya kwenda kulalamika na kuwaeleza kuhusiana na maneno aliyokuwa ananiambia huyo aliyekuwa anajiita wakala kumbe sio.
Tuchukue tahadhari katika hili.
2. Kampuni ya ALAF ifanye chapisho kuwabainisha mawakala wao wote na kuwabainisha wote ambao ni matapeli wanaotumia jina lao kwani wanawajua na hizo kesi zinakwenda kwao kila leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachofanya mfano mbao ni futi 10 , wao wanakata futi yao katikati wanaondoa kipande kama futi 2 au 2.5 alafu wanaiunganisha tena ile futi, kwa hiyo mwisho wa siku wakikupimia kweli futi itasoma futi kumi lakini uhalisia mbao yako ni futi 8 au 7.5 .
Cha kufanya usiamini vipimio vya madukani au kwenye hardware badala yake fika na futi yako waambie unataka uitumie yako, ukiona wanaleta ubishani jua futi zao zina walakini[emoji2]
Sasa hata kujumlisha , kutoa,kuzidisha na kugawanya ushindwe basi wewe acha tu uwe halali yao mkuu[emoji23]Wakikukosa kwenye futi, unapigwa kwenye calculator, kuna mbinu nyingi sana pale
Sent using Jamii Forums mobile app