Utapeli wa kwenda jeshini

Orundo

Member
Dec 22, 2016
32
12
Jamani kuna iyo namba hapo juu inawatumia watu message kuwatarifu kujiunga na jeshi kumbe ni matapeli wanadai wako Dodoma
Kueni makini NATO iyo namba
 

Attachments

  • PhotoGrid_1483533874811.png
    PhotoGrid_1483533874811.png
    88.7 KB · Views: 53
matapeli wamezagaa kutokana na hali mbaya ya UCHUMI.....wanakuja na kila aina ya mbinu ili kuwalaghai wasiojielewa
 
Back
Top Bottom